NBA Season 2015 - 2016: Special thread


Huu ni mchezo tu, mwisho wa siku usipoangalia unaweza kuugua madonda kwa sababu ya chuki zako dhidi ya timu iliyokufunga wakati wachezaji waliofungwa wako mapumzikoni wanakunywa wine huku wewe unaumia.

Ukifungwa kubali, toa sifa kwa aloyekufunga, nenda kajipange tena.
 
Guys hawa Charlotte Hornets kila anapokuwepo Michael Jordan uwanjani (their home court) hawashikiki. Jeremy Lin (Linsanity, Linitendo) as you may call him is back to his previous good though not best. He has turned into a very big X factor has he's pouring double figures. And a series which was thought to be a sweep or 5-1 is now even. 2-2 with Miami.

THE EASTERN CONFERENCE PLAYOFFS SERIES HAVE BEEN VERY COMPETITIVE.

Meanwhile there's a chance that Clippers will be eliminated as the Portland Trail Blazers have tied the series 2-2 and prio to that today in the third quarter of the game Chris Paul broke his right hand. He may be out for the rest of the playoffs.
 
Nilivyo na hakika kwamba hukuwa ukishabikia Cavaliers miaka mitatu/minne iliyopita hadi aliporudi LBJ, your King. Mimi nina vigezo vinavyonifanya niishabikie timu na GSW kuleta kitu kipya katika mchezo wa basketball kilikuwa kigezo mojawapo.

Mimi ni shabiki wa LBJ toka ameanza kutamba high school. Alivyoingia NBA nikawa shabiki wa Cavs. Alivyoenda Miami, nikawa shabiki wa Miami. Na alivyorudi Cleveland, nikarudi kuwa shabiki wa Cavs. Ni kama nilivyo shabiki wa Real Madrid kwa sababu ya CR7. Na kama nilivyokuwa shabiki wa Barcelona kwa sababu ya mtakatifu Dinho. Lakini nina mapenzi ya kweli na timu moja tu, Manchester United. Iwe giza iwe nuru, mimi ni die hard #RedArmy soldier kwa kuwa nimewahi kuwa Mancunian.

Nina maana hatuwezi wote kuwa mashabiki wa timu fulani kwa vigezo vinavyofanana. Wewe una vigezo vyako, nami nina vyangu. Yote ni katika kufurahia michezo mbalimbali.

Hapo tunatofautiana...mimi timu ikicheza vizuri, nitasifia. Kwa wachezaji nao nina vigezo vyangu na utumiaji wa nguvu kupita kiasi badala ya ufundi ni kigezo ninachokijali sana.

Ni sawa kabisa, hatuwezi kufanana katika namna ya kushabikia michezo. Na nimeshakwambia wewe unaona matumizi ya nguvu, wakati mimi naona hiyo ni athleticism. Ndiyo maana kuna nafasi kama power forward, sasa sijui unategemea nini. Na tunatofautiana katika kuelezea matumizi ya nguvu. Maana kama unamwona Irving uwa ana bulldoze, hakika tunaelewa tofauti juu ya 'matumizi ya nguvu'.
 
Hiyo ndiyo shida ya ndugu zako... Wako hapa eti kuangalia GSW ikifungwa wapate cha kuongea, sasa baada ya hayo kuwa yanatokea nadra eti wakasingizia ligi haina ushindani.. Duuuh hivi ni ligi ilikuwa haina ushindani au GSW hakuwa na mshindani?? Mwingine akaanzisha mpaka NFL hapa ili kuvuruga tu...
 
Griffin is not well too... Daah naomba hii series iende mpaka game 7 ili tupate siku kama 8 za mapumziko... Curry will be out for two weeks kwahiyo possibly atakuwepo game 3 or 4 ya second round na kama tukianza vizuri game za nyumbani dhidi ya Clippers/RipCity basi anaweza kupumzika zaidi kusubiri Western Finals.. Ninaomba sana akina Thompson na Green wasimamie show ya Second Round waimalize hata ndani ya game 5 ili Curry asiguse kabisa second round aje kwenye finals... It is time for Livingstone to step up (he already did that) and dogo Ian Clark apige show kama backup ya Livingstone..
 
Mag3 uliona Paul Millsap alivyofunga points 45 na rebounds 13?
Mbona hujampa sifa? Au wewe unataka watu wasifie GSW tu ndiyo uone mtu huyo ni sportsman? Kwa mtazamo huo wa kutoweza kuona alichofanya Millsap, naweza kusema nawe pia siyo sportsman, si ndiyo?
 
Humu ndani kuna tatizo moja tu so far... Watu mshafanya vitu viwe personal sana. Na hii inaondoa weredi wa majadiliano yetu na kufanya tushindwe kuweka bayana uchambuzi sahihi wa masuala ya mchezo huu ambao binafsi naamini mashabiki wake ni watu smart na wenye staha na kujua wanachofanya.

Let's change guys, Umefika wakati Sasa hii thread mtu akifungua apate hamu ya kuketi ajifunze mambo mapya na asiyejua basketball atake kujua. Ila sio each and everytime sisi tuliosubscribe ukiona notification na kuifungua unakuta ni fulani katupa jibe kwa fulani.
 
Mkuu usipate nae shida.. Anataka kuleta ligi zake za football huku... Ukienda kwenye nyuzi za football utajua huyo mtu ni wa namna gani...

Pitia uzi wa mwaka jana wa NBA... Hatukuwa na upumbavu kama huu ulioletwa na huyo mtu..
 
Sijui unataka ushabiki gani wa michezo usio na vijembe! Vijembe na kujitamba ni sehemu ya ushabiki wa michezo yoyote ile. Bila vijembe na utani, hakuna ushabiki braza. Sidhani kama kuna vitu vipo personal kama unavyodai. Kama unaona vitu vinakuwa personal sema wazi vitu hivyo. Na sielewi ni vipi unadefine personal!
NB: na unaweza kuwa mtu wa kuleta hayo mambo mapya ya juu ya mpira wa kikapu. Usibaki kulalamika tu wakati hujazuiwa kuleta hayo mambo mapya.
 

Watu hawataki timu zao zipondwe!
 
Bandwagon kwa sababu naaamini misimu mitatu/minne iliyopita hukuwa ukishabikia GSW.
Siyo lazima kupongeza kila jambo la timu pinzani, wewe sifia wengine tutasoma tu.
Juzi kuna comment moja nliisoma sehemu nkaikubali sana.

"Whoever lifts th trophy gets/deserve the bandwagon"

So it's all good with us GSW fans to be called that since it's all but natural. When the time comes for another team to lift up the L.O.T, you (other teams' fans) too will be the then bandwagons. So till then, chillax and....

May the best team win, partner.
 
Ha ha ha! Baada ya Finals za mwaka huu kutakuwa na bandwagons wapya (siyo wa GSW lakini).
Pamoja mazee...
 
And may the NBA gods hear your prayer, fam. Amen.
 
Ha ha ha! Baada ya Finals za mwaka huu kutakuwa na bandwagons wapya (siyo wa GSW lakini).
Pamoja mazee...
Hahaha sure thing bruv!. Na tukichukua tena msisite kuendeleza tamaduni.

Kila mchezo una timu yenye bandwagon kinda fans. Na hii ndo kitu inayofanya hata ushabiki wenyewe unakuwa na maana sometimes.

Uking'aa tu, usishangae kupata ufuasi ambao 2,3 years back hukuwa nao. Na ufuasi huu mara nyingine ndo unaopelekea ufuasi wa kudumu (quote me right here "mara zingine") kama mimi nlivoanza vutiwa kuipenda GSW with their kind of play and team spirit misimu mitatu iliopita. Before that, I was and still am, a die-hard fan of the Pats.

So bandwagoning (if there's such a word) is not that bad.
 
America has officially released a 12 named women's basketball team to participate in the 2016 Olympic Games.

Big names missing so far are Candace Parker (Huyu Anaitwa naye CP3) na Skylar Diggins ambaye aliumia nahisi bado hajawa fiti with torn ACL.

The roster includes, Tamika Catchings, Elena Delle Donne (MVP last season), Britney Grinner, seimone Augustus, Maya Moore, Sylvia Fowles, Lindsay Whalen, Sue Bird, Tina Charles, Angel McCoughtry and the queen Breanna Stewarts.

Aiseeeee Huyu Breanna Stewarts kachukua 4 straight NCAA titles since she was 16 na amerise questions whether if she's the best all time player in women's college basketball.

Kaingia WNBA this season.... The best story of her is her wingspan. She's 6'4 tall but has a longer wingspan than Lebron James who's 6'8. her wingspan is 7'1.
 
Hapa umeongea Nzi, big up! Ninavyopenda vijembe, wee acha tu. Bila vijembe mbona jukwaa litapoa? Hapo juu tayari nimepewa kijembe...mbona sikusifia Paul Millsap alivyofunga points 45 na rebounds 13? Ni kweli sikufanya hivyo kwani mchezo sikuutazama (kumbuka narekodi zile ambazo nakosa kuzitazama), nitakapopata muda na kuuangalia sitasita kutoa pongezi.

Ushauri wangu kwa yeyote anayekwazwa akikutana na vijembe humu ni huu, kama moto wa jikoni huwezi kuuvumilia, mlango uko wazi, toka humo...ha ha haa! Bila vijembe jukwaa halinogi na toka leo naagiza ushabiki unaokosa vijembe ni marufuku katika jukwaa la burudani na michezo. Nitaendelea kutoa vijembe tena vizito kwa anayeponda timu yangu bila sababu za msingi, hapo sasa!
 
I really enjoy ESPN Comment section,even when the jab is thrown at GSW...
Here's one from Anti-GSW fan that made me "lol"
"Geez...I swear Draymond Green is allowed to do things no body else in the NBA can do,just a bull in a China Shop with no repercussions"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…