Sijui Ni wangapi wanauangalia mchezo WA Leo Kati ya Warriors na Pacers. Mpaka halftime magoli Ni 79 kwa 60! Hii nayo ni rekodi ya peke yake. Hawa vijana kwa kweli wananikosha.
Cc: Nyani Ngabu, Tyta, Steph Curry, Raimundo...

Watching GSW at Toronto Raptors!
The game looks close today as the previous match btn them.
Hope GSW continues with their W-Streak.
Half time: GSW 59, Toronto Raptors 49.
Mag3, Watu8, Steph Curry, Tyta et al
Sijui Ni wangapi wanauangalia mchezo WA Leo Kati ya Warriors na Pacers. Mpaka halftime magoli Ni 79 kwa 60! Hii nayo ni rekodi ya peke yake. Hawa vijana kwa kweli wananikosha.
Cc: Nyani Ngabu, Tyta, Steph Curry, Raimundo...
Jana niliwatazama GSW wakicheza na Pacers ilikuwa game nzuri mwanzo mwisho...
That kid Klay was on fire,shootin em 3's like nobody's business...
Alikaribia kuifikia rekodi ya Kobe ya points 3 kumi na mbili per game lakini hakuweza aliumia Q4 akiwa kafika 3 pts kumi tu...
Raimundo said:Huu mwaka records nyingi zitavunjwa!
Nasubiri kuona game yao na Cavs X-Mass!
Second OT of the night...
Game ya leo balaah tupu...
Aisee hii game ni tamu noma..
Streak over!