Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Sijui Ni wangapi wanauangalia mchezo WA Leo Kati ya Warriors na Pacers. Mpaka halftime magoli Ni 79 kwa 60! Hii nayo ni rekodi ya peke yake. Hawa vijana kwa kweli wananikosha.
Cc: Nyani Ngabu, Tyta, Steph Curry, Raimundo...
Cc: Nyani Ngabu, Tyta, Steph Curry, Raimundo...
Last edited by a moderator: