NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Hahahaaa the CAVS can't compete with the GSW this season [at least thus far].

Instead of being a competitive game it's turning into a runaway one.

The Warriors are up by 20.

There is no coming back from that. At least not against this Warriors team.

What are bummer for the CAVS fans.
The boys are too fast for old guards like LeBron. I liked the way Curry left him cllutching on air instead of ball ha ha haa!
 
Now I hate the fact that both the Warriors and my Spurs are in the same conference because I'd have loved to see them meet in the NBA finals, especially this season.
 
teh teh teh teh Cavs fans nasikia sasa wako kwenye mfungo wakiomba wakutane na Spurs tu kwenye finals...
 
Leo ni rout inavyoelekea...James yupo kama hayupo...na timu nzima imeshakata tamaa....mimi sioni kwanini wakatae tamaa wakati msimu bado mbichi...

Sidhani wamekata tamaa kwenye msimu. Ni mapema mno kusema hivyo.

Ila nadhani ni sahihi kusema wamekata tamaa kwenye hii mechi.

Hawana moyo tena kwani wanaonekana kutokujiamini.

Na hii mechi inaweza kuja kuwa na athari za muda mrefu [neno la kuzingatia hapo ni 'inaweza'].

Uzuri ni kwamba kila mechi huwa ni tofauti na nyingine.

Kwa hiyo kwa vile hii mechi Cleveland wananyukwa haimaanishi kwamba mechi ijayo pia watanyukwa au hata wakinyukwa itakuwa ni blowout.

Angalia tu jinsi mechi ya kwanza ilivokuwa ya ushindani....
 
Nilimaanisha kukata tamaa leo...
 
I have to admire GSW, maana wachezaji wake ni very average, ukimtoa Shitsu...ila wana intent...na wanaonyesha leo hapa...
 
I have to admire GSW, maana wachezaji wake ni very average, ukimtoa Shitsu...ila wana intent...na wanaonyesha leo hapa...
I am glad you are seeing for the first time what we have seen since last year. 112- 69 and counting...! I remember Steph Cuury asking you to watch their game, well today you had your chance!
 
Back
Top Bottom