NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Mag3 ebu cheki hizi stats za game ya jana: GSW vs. OKC. Unazithathmini vipi?
 
Attachments

  • image.png
    image.png
    38 KB · Views: 15
  • image.png
    image.png
    28.7 KB · Views: 14
  • image.png
    image.png
    27.1 KB · Views: 16
Mag3 ebu cheki hizi stats za game ya jana: GSW vs. OKC. Unazithathmini vipi?
Statistically,Okc did better in most categories. ..Yet they lost by 8...The implication is...GSW can beat you even when Splash Bros have an off night "splash party"..
It doesn't matter whether KD & RW are combined for 67pts while S.B only 54pts..It's tough for opponents to get that "W"...They will find a way to give you the "L"..
 
At least OKC died with honor. ..Loosing by 8 is better than loosing by 30.....
 
Hahah..kiroho safi...

*thathmini vipi=tathmini vipi
Mazee upo kwenye mode ya kushindana muda wote siyo? Yaani baada ya kukurekebisha ukaenda kufukunyua posts ili u-justify kukosea ama?

Kazi kweli kweli.

NB: tatizo la matumizi ya lose na loose, nimeshawahi kuliongelea humu. Kuna thread nilianzisha kwa ajili ya hilo tatizo.
 
Sipo kwa ajili ya kushindana na ndio maana nikatanguliza "kiroho safi"..Yaonekana upo super sensitive unapokosolewa....
Kiingereza ni lugha yangu ya nne(baada ya mama,ya baba na kiswahili)..Ninapokosea grammar/sarufi/mantiki si big deal...ni part ya kujifunza...
Wala haikuhitaji kufukunyua kupata kosa lako..human is to error(refer to my signature)..tukianza kukosoana uandishi(hasa grammar) katika jukwaa la sports ni dalili za kukosa hoja ya kucounter argue..
This is not "Spelling Bee Competition"..lets focus on the subject at hand..hata ukikosoa then rudi kwenye hoja...
 
Ha ha! Kukosolewa ni order of the day kwa kazi ninayoifanya...hivyo siwezi kuwa "super sensitive" kwa ulichokifanya.

Kilichonishangaza ni wewe baada ya kukosolewa, ukakimbilia kufukunyua posts zangu ili nawe unikosowe.

Ungeweza kusema ulivyosema hapa kuwa kiingereza ni lugha yako ya nne na wala siyo ishu, badala ya kukimbilia kufukunyua posts za zamani

Tatizo la watanzania wengi (na hili ninaliongea kwa uzoefu wa kufanya kazi na watanzania na watu wasio watanzania) hawapendi kukosolewa. Mfano dhahiri ni serikali yetu, inapenda kusifiwa tu. Watanzania ndiyo walivyo, wanapenda kusifiwa tu. Wakikosolewa hawakosi sababu lukuki na visingizio visivyo na msingi. Na hii inatokana na msingi wa elimu. Nakumbuka primary walimu walikuwa wakisisitiza kuzomea pale mwanafunzi anapokosea. Hilo kwa mtu ambaye siyo naturally aggressive na asiye jali, uleta athari kubwa sana katika kujiamini. Ndiyo maana (of course ukichangia na sababu zingine kama vile itikadi ya ujamaa n.k.) watanzania wengi ni waoga kujieleza mbele ya kadamnasi. Ni waoga pia wa kujaribu mambo makubwa, wakihofia kuchekwa ama kukosolewa pale watakapokosea ama kushindwa.

Hivyo mazee, tatizo ni kubwa zaidi ya unavyoliona: kwamba ni kukosoa 'spellings' kwenye jukwaa la michezo. By the way kwa kuwa kuandika ndiyo njia ya kufikisha ujumbe humu, basi hata kukosoa 'spellings' haliepukiki. Kwa sababu form uathiri content.
 
Mag3 ebu cheki hizi stats za game ya jana: GSW vs. OKC. Unazithathmini vipi?

Nzi, admittedly jana OKC wamecheza kwa kiwango cha juu sana na wangeweza hata kuishinda GSW isipokuwa ni nyakati kama hizo ndio ile silaha ya DUB nation ya strength in numbers inapotumika. Ikitokea kwamba ile mizinga ya starter line-up haideliver kocha anarudi kwenye arsenal kuchukua silaha za akiba na hii ndiyo ilitokea jana. Hebu pitia tena hii stat uliyoileta halafu angalia namna OKC walivyoachwa solemba vijana wa benchi walipoitwa. Ukimwacha huyo B. Rush ambaye hakumaliza hata dakika moja uwanjani, linganisha kazi ya hao wanne na wale wa OKC.

All that aside OKC proved to be a force to reckon with ingawa mwishoni wamezidi tu kuipaisha GSW na sasa imefikia rekodi ambayo haikuwahi kufikiwa katika historia ya NBA, 46-4!... yaani katika kila mechi 12 wanapoteza mchezo moja!

basketball1-jpg.321710

GSW is now 4-0 against the big three (Spurs, OKC na Cavs)
 
Na kwa kuongezea, we had a bad game from the arc... Zile 3 hazikuwa zikitililika but we still manage to get the win.. But man, Curry is clutch.. Zile dakika 3 za mwisho alichowafanya OKC hawataweza sahau.. Sasa imagine him playing like that all of his minutes kule Oklahoma kwenye rematch..
 
Ha ha! Kukosolewa ni order of the day kwa kazi ninayoifanya...hivyo siwezi kuwa "super sensitive" kwa ulichokifanya.
kuna makosa mengi yanafanyika jukwaa hili,naona kwangu ndio imekuwa ''order of the day''.........Haina kwere homie..
Kilichonishangaza ni wewe baada ya kukosolewa, ukakimbilia kufukunyua posts zangu ili nawe unikosowe.
wala sikufukunyua mkuu...post yako no. 962 uliyonikosoa no.964...
waweza kuona nilishaona kosa lako mapema lakini haikuwa hoja ya msingi katika jukwaa...
lengo la kukuonesha nawe kosa lako ni kukumbushana tu(kila mtu anakosea,kwa kujua/kutokujua)...
In the first place bado sikuona haja ya wewe kuileta..

Ungeweza kusema ulivyosema hapa kuwa kiingereza ni lugha yako ya nne na wala siyo ishu, badala ya kukimbilia kufukunyua posts za zamani
kukukumbusha hata hukosea ni hoja ya msingi zaidi kuliko kunilimit ningeishia wapi katika kulisemea..
..kama kwako post zilizopishana kwa comment moja (#262 & #264) zilihitaji ''ufukunyuzi'' unaojiaminisha..basi poa..

Tatizo la watanzania wengi (na hili ninaliongea kwa uzoefu wa kufanya kazi na watanzania na watu wasio watanzania) hawapendi kukosolewa. Mfano dhahiri ni serikali yetu, inapenda kusifiwa tu. Watanzania ndiyo walivyo, wanapenda kusifiwa tu. Wakikosolewa hawakosi sababu lukuki na visingizio visivyo na msingi. Na hii inatokana na msingi wa elimu. Nakumbuka primary walimu walikuwa wakisisitiza kuzomea pale mwanafunzi anapokosea. Hilo kwa mtu ambaye siyo naturally aggressive na asiye jali, uleta athari kubwa sana katika kujiamini. Ndiyo maana (of course ukichangia na sababu zingine kama vile itikadi ya ujamaa n.k.) watanzania wengi ni waoga kujieleza mbele ya kadamnasi. Ni waoga pia wa kujaribu mambo makubwa, wakihofia kuchekwa ama kukosolewa pale watakapokosea ama kushindwa.
this was unnecesary ''insha''

Hivyo mazee, tatizo ni kubwa zaidi ya unavyoliona: kwamba ni kukosoa 'spellings' kwenye jukwaa la michezo. By the way kwa kuwa kuandika ndiyo njia ya kufikisha ujumbe humu, basi hata kukosoa 'spellings' haliepukiki. Kwa sababu form uathiri content.

*uathiri= huathiri
*mazee=mzee

Hivi huoni tukianza kukosoana kila kosa katika neno/sentensi jukwaa hili litakosa/kupoteza thamani yake??
Jukwaa la michezo acha liwe huru....Na kama nilivyosema,basi kosoa kisha endelea na mada husika.Sio unakosoa kisha unaishia hapo.
 
this was unnecesary ''insha''
It was necessary kuonyesha kwamba tatizo siyo humu tu kwenye JF...ni tatizo pana zaidi linasobabishwa na msingi wa elimu yetu. Na kwa ulichokiandika kwamba, "this was unnecessary "insha"" umedhihirisha nilichokisema. Good to know and prove it.

*uathiri= huathiri
*mazee=mzee

Doh! Wewe ni kiboko mzeeiya...mazee ni kiswahili cha kikenya...sawasawa unirekebishe kwa kusema manzi nikimaanisha msichana. Na mazee haimaanishi mzee; inafanana na mshikaji.

Kuathiri kunatokana na athari...na mimi nililitumia neno hilo katika hali chanya na siyo hasi...nikimaanisha "form affects content" na siyo "form doesn't affect content". Hivyo, nipo sahihi kabisa. Sijui labda unieleweshe kosa langu.

Hivi huoni tukianza kukosoana kila kosa katika neno/sentensi jukwaa hili litakosa/kupoteza thamani yake??

Wala sioni kama kuna tatizo lolote. Na wala kukosoana hakuwezi kufanya jukwaa lipoteze thamani yake. Kwa sababu thamani ya jukwaa inaendana na yaliyomo ndani ya jukwaa (content).

Jukwaa la michezo acha liwe huru....Na kama nilivyosema,basi kosoa kisha endelea na mada husika. Sio unakosoa kisha unaishia hapo.

Sasa hivyo unataka ku-dictate mambo ya kuandikwa humu. Hili ni jukwaa huru, unaruhusiwa kuandika chochote kile ilmradi hauvunji sheria tu. Kwa hiyo naweza kukosoa na kuishia hapo hapo. Kama huna 'kifua' cha kustahimili na kuvumilia hiyo hali, basi pole.
 
that moment when a GSW Hater has ran out of counter argument...Let him try to make himself feel better.It pisses him off to see Curry & C0. flourish and being glorified.This dude has no grasp on reality.....
Ha ha ha! I guess it makes you feel better to think that I'm hating on something that doesn't put food on my table! I don't need to make my self feel better in a pseudo world! I wonder how can you even think of that! Besides, I'm not sure if you know what reality is

On the other hand, what you are actually doing continues to prove my point, which I said earlier. Otherwise, let's just agree to disagree. We are different people, so don't expect us to have similar thinking and perspectives on issues.

Chill out braza. 1
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Ha ha ha! I guess it makes you feel better to think that I'm hating on something that doesn't put food on my table!
I feel better when GSW silence all haters who volunteer to get embarrassed on purpose.....😀
I don't need to make my self feel better in a pseudo world! I wonder how can you even think of that! Besides, I'm not sure if you know what reality is..
teheteh..with their ongoing dominance,there is a plenty more in store for you to hate.Just keep hating,your bitternes is least of GSW's Worries..History dont lie..you have been getting too hasty to diminish their success

On the other hand, what you are actually doing continues to prove my point, which I said earlier. Otherwise, let's just agree to disagree. We are different people, so don't expect us to have similar thinking and perspectives on issues.

Chill out braza. 1
...just accept with dignity, the ass whooping THE GSW(led by the commandar in chief PG Steph Curry) has been handing out to the other ''inferior teams''😀...The only thing you are left to do is Fast and pray they(GSW) have 4 off nights in the playoffs ...🙂
NB/...Kindly, start watching some warriors basketball...You will have nothing against them dudes.
 
Damn, you two really losing it over some typos?!
That goes for me too...I just cant understand what it's all about. Come on guys, I know none of you means anything other than just blowing off steam...in fact I think at the end of it all you will end up buddies and I suspect you are actually enjoying this argy-bargy...!😎😎😎
 
Back
Top Bottom