Mchezo anaocheza Kyrie Irving ndio anaocheza Russell Westbrook na ndio huo huo anacheza LBJ...bulldozing!
Doh! Mzee, unamwongelea Kyrie Irving huyu anayecheza basketball kwenye timu ya Cleveland Cavaliers ama? Yaani KI anacheza kama Westbrook na LBJ? Seriously? Mzee, ebu utake radhi mchezo wa basketball. Mtu mwenye hata nyama hana za kutosha halafu ati anacheza kwa ku-bulldoze?
Utadhani uwanjani wako peke yao na watalazimisha kufunga hata Kama wenzao wana nafasi nzuri zaidi!
Mh! KWa hiyo Chicken Curry anavyopenda kufunga 3pts kila saa, ni sawa kwa vile ni Curry?! Kwa hiyo kwa Curry haijalishi kwamba hata kama wenzake wana nafasi nzuri za kufunga, yeye anaruhusiwa kutupa tu mipira ili apate 3pts, siyo? Curry aliye point guard (na kama tukiongelea basic basketball ya kufundishwa, nadhani unafahamu kazi ya PG), sasa kwa namna anavyofanya Curry, hakika mtu akisema ni mchoyo na mbinafsi hakosei, kwa sababu ratio yake ya assists (kama core role ya PG) na points haiendani na nafasi yake. Lakini kwa kuwa ni Curry, hewala! Akifanya Westbrook (aliye PG pia), anaonekana mchoyo na mbinafsi.
By the way, ukimwongelea LBJ kama power forward ama small forward, nafikiri unafahamu kazi ya mchezaji kama yeye kwenye timu ya basketball. Sasa ukilalama kuwa analazimisha kufunga, sijui unataka kusema nini?
Kwa siku za karibuni afadhali LBJ kidogo amepunguza ubinafsi ila hao wawili siwakubali kabisaa!
Kumbe kutowakubali kwako ndiko kumepokupofusha kiasi kwamba, mahaba juu ya Curry yanaongezea huo upofu!! Ukiangalia career assist stats za LBJ, zinakuumbua. Unajua ni LBJ na Oscar Robertson pekee wapo kwenye top 20 ya all time assists na points made? Sasa utamwitaje mchezaji huyo mbinafsi mzee?
Hata hivyo kwa kila bao analofunga LBJ lazima mchezazi moja au wawili wa timu pinzani wawe chini!
Huyo power forward..here comes the freight train...lazima ukae mbali, la sivyo subiri kukumbwa...ebu uwe serious basi mzee, ati "kwa kila bao analofunga LBJ lazima mchezaji mmoja au wawili wa timu pinzani wawe chini", acha fiksi mzee. Hiyo ndiyo staili yake...wewe unaona ana-bulldoze, wakati yeye anaonyesha athleticism...yeye, Westbrook na Griffin ndiyo the most athletic ballers kwa sasa...ndiyo maana Westbrook anatupia triple doubles (anazo 18 sasa, kesha-tie na Magic katika all time)...design ya wachezaji hawa uwa ni all rounders: kama LBJ anaweza kucheza kama PG ama 'big' mara kwa mara...hivyo siyo bulldozing mzee, bali ni athleticism tu...tatizo Chicken Curry wako hawezi, afya yenyewe mgogoro
😀😀😀
Their game is closer to wrestling than our beloved basketball! And that's the more reason I love GSW...more skill and maneuver less brute force and physical contact!
Kama nilivyosema hapo juu, wewe unaona 'bulldozing' ama 'wrestling', wakati wao wanachukuliwa kama the most athletic players...ingekuwa wrestling basi si wangekuwa kila mara wanapigwa ma flagrant fouls kila mara mzee?!??