Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh teh teh Varejao tayari ana ring yake...
Hata matokeo yaweje on finals yeye hatajari.. Tajari amekipata alichokitafuta kwa miaka mingi
Labda hujanielewa mkuu...Kwani si alipata ya Finals za East mwaka jana?
Hata 2007 alikuwa na Cavs wakati wanawin East.
Jamaa anapishana na gari la mshahara huyu. Asubiri tu.
Labda hujanielewa mkuu...
Naongelea Ring sio ubingwa wa Conference.. Ile Ring yenyewe ya finals..
Varejao atapata sababu amechezea timu zote mbili ndani ya msimu mmoja..
Kama Cavs watashinda basi atapewa na kama aliyekuwa mchezaji wao maana alianzia season akiwa kule kabla ya kuondoka katikati ya msimu.. Yeye matokeo yoyote ya finals hayamuhusu teh teh
Ndio hivyo mkuu... Soma hapa..Hivi inakuwa hivyo kweli?
Hapo sikukuelewa mkuu, ina maana kama Cavs wanashinda anapataje ring?
Ndio hivyo mkuu... Soma hapa..
Regardless of which team wins the NBA Finals, Anderson Varejao is going to be happy because he's guaranteed to receive his first NBA ring.
The 6-11 big man spent 11 full seasons with the Cavaliers before being dealt to the Trail Blazers on Feb. 18 in a three-team deal that involved the Magic, who sent Channing Frye to the Cavs.
MORE: Must-see photos from the conference finals
The Blazers unloaded a second-round pick to get a first-round pick and Varejao, who was immediately released. The Warriors picked him up four days later.
According to the Elias Sports Bureau, Varejao is the first player to play for both Finals teams in the same season.
After playing 31 games with the Cavaliers, Varejao averaged just 8 1/2 minutes over 22 regular-season games with the Warriors and has seen less floor time in the playoffs. He scored two points Monday night in Golden State's Game 7 Western Conference Finals victory over the Thunder.
Mkuu mi mbona nilishasema kabla hata ya Play offs kwamba timu ninayoiogopa kukutana nayo kwenye play offs ni OKC pekee... Na ndio hii imetusumbua..Okay, thanks mkuu.
Sikuielewa hii.
Vipi lakini unaona mtachomoka kwa LBJ?
Mkuu mi mbona nilishasema kabla hata ya Play offs kwamba timu ninayoiogopa kukutana nayo kwenye play offs ni OKC pekee... Na ndio hii imetusumbua..
Cavs wala sina hata mashaka.. Hata game 7 haitafika..
Haya mkuu, nilikuwa natamani sana kina Durant tukutane nao Finals maana ni walaini sana kwa LBJ.
Ila nyie tutawafunga kwa shida sana, ninaamini game plan itakuwa physical game 1 na 2. Baada ya hapo tutaona upepo utakuwaje.
Hahahahahahaha unanifurahisha mkuu. Kwamba ingekuwa Cavs mngeclose deal auHivi ni kweli OKC wamepoteza ushindi wa 3-1?
Saa hizi ndo nakumbuka kumbe walikuwa wametangulia 3-1?
Nimekaa nikawaza ndugu zangu kuwa LeBron needs to win this ring though ni mission impossible to name it.
Next season namwona kabisa Pat Riley akimchukua Kevin Durant aiseeee. I'm sure Wade will agree for a pay Cut kutengeneza timu bora.
Kevin Durant pia atakubali pesa iliyokuwa ndogo kupata a complete squad.
Bosh
Luol Deng
Kevin Durant
Dwayne Wade
Goran Dragic.
Na kama Hassan Whiteside akikubali kubaki itakuwa balaa with the Joe Johnson and Richardson available bila kusahau Justice Winslow
Ukiota nayo si mawazo au tunaota kwa miguu mkuu.hahahahaaahahUnajitahidi kuota ukiwa macho
GSW imeingia tena kwenye lile kundi lililo-defy odds kwa kuwageuzia kibao OKC, from 1-3 to 4-3! Ni timu chache sana zilizoweza kufanya hilo na fundisho hapa ni kwamba kwa Warriors it ain't o'er til it's o'er. Historia ya GSW itakapoandikwa itakuwa na mengi mapya lakini la msingi litakuwa ni jinsi walivyoweza kui-revolutionize mchezo wa Basketball!Hivi ni kweli OKC wamepoteza ushindi wa 3-1?
Saa hizi ndo nakumbuka kumbe walikuwa wametangulia 3-1?