mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 361
Friday morning were going to tie the series 3-3 in order to play game 7.
Cavaliersfor2016championship
Cavaliersfor2016championship
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwezi kulala mbele aiseee....nipo vijijini huku, sina network na wala sijaangalia games toka game ya 3....nimekuja Kilwa mara moja na kucheki highlights za games 4 na 5....jambo moja ambalo nimefurahi ni jinsi maneno yangu yanavyojidhiirisha, kwamba Green ndiye MVP halisi wa GSW; bila yeye GSW si kitu. Chicken Curry media hype inambeba tu; ndiyo maana amekuwa inconsitent na wala hachezi kama unanimous MVP, lakini husikii media ikim-toast kama ambavyo Bron na Kobe (real great players) wanavyofanyagwa...katika games ambazo Green amekosa msimu huu, zote GSW wamefungwa...Nzi ndugu yangu kalala mbele teh teh teh
Uwa unanifurahisha sana unavyokuwaga unajifanya kujiamini...halafu mwishowe unakimbia kama ulivyofanya baada ya kichapo kutoka kwa OKC...With or without Green we will win this tomorrow...
Iggy starting as Small Forward and HB as Power Forward..
We just need Leandro, Shaun, Mo Buckets to step up from the bench..
We be good..
Hivi ile blowout ya 30 points kwenye game 3, Green hakuwepo nini? KI na Bron wakiwa kwenye hiyo mode hakuna wakuwazuia braza...Green akirudi mchezo wa Cavs umeisha.
Acha urongo wewe... Uko kijijini wapi umejificha kwa vichapo tu..Mimi siwezi kulala mbele aiseee....nipo vijijini huku, sina network na wala sijaangalia games toka game ya 3....nimekuja Kilwa mara moja na kucheki highlights za games 4 na 5....jambo moja ambalo nimefurahi ni jinsi maneno yangu yanavyojidhiirisha, kwamba Green ndiye MVP halisi wa GSW; bila yeye GSW si kitu. Chicken Curry media hype inambeba tu; ndiyo maana amekuwa inconsitent na wala hachezi kama unanimous MVP, lakini husikii media ikim-toast kama ambavyo Bron na Kobe (real great players) wanavyofanyagwa...katika games ambazo Green amekosa msimu huu, zote GSW wamefungwa...
Jambo jingine ni KI kucheza vizuri zaidi ya Curry, tukiwaangalia kama individual players...KI ame-average 30+ points kwa games 3 mfululizo...huku Curry aki-choke tu, na watu kuanza kutazama u-MVP wake kwa jicho la wasiwasi...
All in all, kama alivyosema Bron, jambo la muhimu sasa ni kwa Cavs kupata opportunity nyingine ya ku-enjoy and try to win the series...
#ALLin2016
Kwahiyo siku nyingine huwa wanajitoa kwenye mode ndio maana wanazuiwa?? teh teh tehHivi ile blowout ya 30 points kwenye game 3, Green hakuwepo nini? KI na Bron wakiwa kwenye hiyo mode hakuna wakuwazuia braza...
Ni wapi nimesema Warriors bila Green si kitu?? Siku zote nimesema hapa na wala usitake nifufue post zangu.. Green anategemewa na Warriors kwenye defense.. Offense ni Klay na Curry na hiyo ndio maana ya timu. Kila mtu uwanjani ana majukumu yake..Uwa unanifurahisha sana unavyokuwaga unajifanya kujiamini...halafu mwishowe unakimbia kama ulivyofanya baada ya kichapo kutoka kwa OKC...
Sasa nimesoma uliandika haya, kisha mbele ukasema GSW bila Green si kitu...ulisahau ulichokiandika kabla ama niaje braza?
Usome na kuelewa ujumbe basi braza....all that Bron usually misses ni partners in crime...sasa akiwa na partner aliye hot kama alivyokuwa KI, basi winning chances ni kubwa...siyo Warriors wala timu nyingine inaweza kuwazuia Bron and partners wakiwa that fired up..Kwahiyo siku nyingine huwa wanajitoa kwenye mode ndio maana wanazuiwa?? teh teh teh
Mbona kule Eastern Conference mpaka mnachukua ubingwa hawakutoka kwenye mode ila wakicheza na Warriors tu ndio wanatoka sio?? teh teh teh
Haya ndiyo uliyoyasema braza...huku mwanzoni ukisema:Warriors defense without Green is a joke..
Klay or Green for Finals MVP..
Tatizo lako ni moja tu, utoto mwingi na huwezi kufanya mjadala bila maneno ya shombo...Acha urongo wewe... Uko kijijini wapi umejificha kwa vichapo tu..
Jamaa huijui Warriors wewe hahahahaha... Green msimu huu kakosa game moja tu dhidi ya Nuggets.. Curry alikosa game dhidi ya Mavs na tulipigwa na Mavericks.. Warriors tumestruggle dhidi ya Blazers mpaka ikabidi Curry arudi akiwa na majeruhi game 4 na 5 tukamaliza series.. Unataka Curry acheze hero ball wakati he believe in his teammates. Ndio maana he don't stress himself sababu anajua the second best shooter yuko kwenye timu yake. Curry si mchezaji wa kupalilia stats zake binafsi, he is a team player. Game 6 against OKC wakiwa wakaingia Quarter ya 4 alimwambia Klay go have fun na yeye alichofanya ni kumlisha Klay tu huku Klay akitupia tatu tatu zilizowaua OKC.. Curry utamwona kama timu inahitaji ushindi kwenye quarter 4 na wenzake wako off wakashindwa kudeliver.. Na ndio maana walipiga 17 buckets kwenye OT pekee ake.. Kwenye hizi series zote kuanzia ya OKC na hii Curry ni mgonjwa na ndio maana hata Brazil amesema hataenda kupumzisha goti lake.. Sasa kwa hivyo huwezi kumwona anakaza ila game ambazo wanahitaji kweli ushindi ana step up kama ile game 4 alivyowafanya pale kwenu..
Unajua ukimwamini Yesu wewe huofii chochote teh teh... Huwezi kumkuta Curry analaumu wenzake hata siku moja. Yule King fake juzi anapewa high five na KL anaanza kumshambulia kwa maneno.. Ni ujinga huo, kila kichapo cha game 4 akataka kupigana na kila mtu sababu ya hasira za kichapo. Teh teh the king anacheza finals 7 anashinda 2 tu.. Na kati ya hizo Finals 4 amecheza akiwa na Wade na Bosh at their prime akashinda 2.. Finals 3 alizocheza mwenyewe bila ya Wade na Bosh (hii ikiwemo) ataambulia kichapo tu na aibu teh teh teh..
Kukukumbusha tu Curry will be 2-0 on Finals after this one.. Le King will be 2-5, Kobe is 5-2, MJ is 6-0... Sasa unafananishaje kikaragosi na wanaume wa shoka.. teh teh teh
teh teh teh teh Panic mode at work.... We jamaa una vituko sana, we unakuja hapa na maneno ya shombo sijui chicken Curry lakini wewe ukijibiwa shombo unakasirika teh teh teh tehTatizo lako ni moja tu, utoto mwingi na huwezi kufanya mjadala bila maneno ya shombo...
Ni ajabu kwa mtu aliyekimbia jukwaa baada ya kichapo cha OKC...sasa unatamba, wakati uwa ni wa kwanza kuiponda timu yako pale inapochemsha..
Tatizo jingine ni kujifanya unajua watu unaongea nao humu, mimi nimekwambia nipo kijijini, wewe unabisha! Mimi siwezi kukimbia hata timu yangu ishuke daraja...kwa sababu nafahamu matokeo ya mchezo wowote ni win or lose...
Kama unataka majadiliano ya staha, nitashiriki, ila ya kishomboshombo, hutoniona braza..
Sasa kwani MVP akikosekana kwenye timu ndio lazima ifungwe??Haya ndiyo uliyoyasema braza...huku mwanzoni ukisema:
awepo Green asiwepo, GSW watashinda!!
Kobe na Shaq walishinda 3 kwa pamoja, lakini pia Kobe pekee yake bila Shaq alishinda 2 zingine, Je hizo mbili pia alibebwa na Shaq kama mnavyosema??Usome na kuelewa ujumbe basi braza....all that Bron usually misses ni partners in crime...sasa akiwa na partner aliye hot kama alivyokuwa KI, basi winning chances ni kubwa...siyo Warriors wala timu nyingine inaweza kuwazuia Bron and partners wakiwa that fired up..
Unamkejeli LBJ kwa kusema yupo 2-5, unasahau hao MJ na KB hawakushinda championships on their own. Walikuwa na supporting cast, ambayo LBJ ameshindwa kuwa nayo kwenye several NBA Finals ambazo alibeba timu on his own..
MJ had Pippen, Rodman, Kerr, Kukoc; Kobe alikuwa na Shaq, na inasemwa na wachambuzi kwamba kwa miaka (3?) ambayo Shaq na KB walicheza pamoja, Shaq was a better player than KB. Na hii inasemwa kumchukiza KB ambaye anapenda kuwa lone silverback kwenye timu.
Ukiacha supporting cast ya Wade na Bosh kwa miaka LBJ aliyoshinda NBA rings, LBJ hajawahi kuwa na supporting cast imara (of course tukitoa ule mwaka ambao Heat wali-choke mbele ya Dallas)....nasema humu mara nyingi, LBJ ubeba timu mgongoni mwake peke yake...akiwa na supporting cast imara he is unstoppable...
Sasa kwani MVP akikosekana kwenye timu ndio lazima ifungwe??.
Hiyo haiondoi umuhimu wa Curry kwenye timu... Na ndio uzuri wa kuwa na deep team ambayo hata wewe unalalamika kwamba Lebron hashindi sababu hana msaada. Yaani hapa hapa una complain Lebron hana msaada ndio maana hashindi, lakini on the same note unaponda msaada anaopata Steph unayemwita kuku..
Kobe na Shaq walishinda 3 kwa pamoja, lakini pia Kobe pekee yake bila Shaq alishinda 2 zingine, Je hizo mbili pia alibebwa na Shaq kama mnavyosema??
Lebron had Wade, Bosh, Ray Allen... Umesahau ring 1 alipewa na Ray Allen baada ya clutch three pointer ya Ray Allen kuforce game 7
The same as Lebron now has Kevin Love and Kyrie bado pia ana excellent three pointer JR Smith bado ana a good big man Thompson mnataka nini tena ili yeye ashinde?? Team ambayo in three all stars bado mnasema Lebron hana msaada?? .
Lebron hawaamini teammates wake na yeye huhisi wakishindwa na teammates wamemuangusha na si yeye. Ndio maana unakuta mara nyingi anawagombeza na kuwalaumu akina KL na Kay.. .
Curry mara nyingi anawaachia wenzake nafasi za kucheza ni kama ile game 6 alivyomwamini Klay... Lebron yeye anataka timu ndio iwe inamwangalia yeye na si yeye kuangalia timu, na kwa hivyo hatakaa ashinde ring nyingine kamwe...