Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh nilijua tu wewe ndio wale wale wa kubet... Pole sana kwa kuliwa kielfu 5 chakompaka sasa odds za wariors ni 15.5 cavs ni 1.071 huoni litimu lako lilivyo kimeo?
Cleveland are just toying with us..Don't be surprised if they get back to 20 in no time..Quorter ya mwisho sasa itakua nzuri zaidi gap limepungua points 9 tunaweza kuzirudisha na kuongeza
Go go go warriors
Lakini Je, Warriors wanaweza kupoteza game 3 mfululizo??
Wait until they start falling... Them 3'sKama tu CAVs akiendelea na hii rhythm...
Kuna uonevu....Kama tu CAVs akiendelea na hii rhythm...
Kuna uonevu....
Jipe moyoQuorter ya mwisho sasa itakua nzuri zaidi gap limepungua points 9 tunaweza kuzirudisha na kuongeza
Go go go warriors
Kaka huwa unakuwa na overconfidence au overcowardness. Mbona sisi wenzio wa GSW hatupo hivyo. kama uliamua kutokumlaumu kabla basi acha kumlaumu sasa hivi mkuu.....Huu wote ni upuuzi wa Draymond Green kupiga watu kwenye korodani... And for the f*ck sake yeye ndiye katucost game 5 alafu game 6 hakuna anachofanya zaidi ya point 8 tu alizofunga..
That's bad man. The heart in this GSW has been lost. It's needed backHarrison Barnes 0 pts.....Our starting forward. ..A soon to be free Agent