ACCA ni fedha yako ya mitihani na hard work tofauti na CPA(T) ukiritimba mwingi.Kuna jamaa kaanza kufanya CPA tangu niko sekondari nasikia mpaka leo.........nilimwambia bora akafanya CPA(somalia) atafauluAibu
Kwa wahadhiri, wanafunzi na Taifa... kwa ujumla... naomba kujua watahiniwa wa ACCA kutoka Tanzania nao wanashindwa mitihani kwa kasi hiyo hiyo?
Aibu
Kwa wahadhiri, wanafunzi na Taifa... kwa ujumla... naomba kujua watahiniwa wa ACCA kutoka Tanzania nao wanashindwa mitihani kwa kasi hiyo hiyo?
CPA inafanywa kama tiketi ya kwenda Mbinguni ambayo vizee pale NBAA ndio vinatoa ruhusa......Shonge analysis yako nimekubali lakini pamoja na hayo yoote sidhani kama ndio haswa sababu ya kufeli more than 80%.....kwa taarifa yako ni kuwa wengi wanaofanya CPA siku hizi hawapo kazini ni vijana wenye Adv Diploma na Degree za accountancy ambao wengi wao hawan kazi so wako busy na kusoma tu tangu wamalize chuo....Licha ya mapungufu ambayo yanaweza kuwa ya kimfumo [systematic] katika hili, nadhani ni vema pia tuangalie upande wa watahiniwa wenyewe wa mitihani husika. Wengi wa watahiniwa [hasa wa final stage modele E and F] ni wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu. Hawa ni watu ambao wakiwa vyuoni husoma semester moja kwa wiki 15, hupimwa kwa Coursework pamoja na final examination, tena examiner anakuwa yule yule ambaye hufundisha, hivyo ukimjulia angle anazopenda tu umefaulu. Lakini haishangazi kuona mtu ana supplementary moja au mbili kwa semester.
Anapofika kwenye mitihani ya NBAA:
Kwanza: anayetunga/sahisha mtihani si rahisi kutokea coincidence kuwa ndiye aliyemfundisha
Pili: Syllabus [at least for core subjects in the final stage] inashauri mtahiniwa apate 9 months of full time training ili aweze kufanya mtihani. Most of us tumefanya 3 months of weekend/evening trainings.
Tatu: Hata hizo weekend/evening training tunahudhuria tukiwa tumeshachoshwa na waajiri, na pia mahudhurio yanakwamishwa na foleni, vikao vya arusi, semina za kikazi, n.k.
Nne: watahiniwa wengine hawafanyi kazi za kihasibu maofisini mwao hivyo wanaishia kukariri
Sasa tujiulize, Je wakifeli tushangae??, mie naona hata hiyo 16% iko juu sana.
Naomba kuwasilisha!!
Kijana ume spesholaizi kwenye fani gani?Hao waliofeli hawana akili, perios....
jamaa wanabana?Naomba wakuu mnichanganulie jinsi ya kuipata hiyo CPA na ujiko wake!Hivi hiyo CPA inatolewa na wao tu Tanzania nzima?Kuna jamaa aliniambia kuwa kwa bongo wenye CPA ni wachache sana Mengi akiwa mmojawao,hivi hiyo kitu ni mali sana ndiyo mana jamaa wanabana?Naomba wakuu mnichanganulie jinsi ya kuipata hiyo CPA na ujiko wake!
CPA inafanywa kama tiketi ya kwenda Mbinguni ambayo vizee pale NBAA ndio vinatoa ruhusa......Shonge analysis yako nimekubali lakini pamoja na hayo yoote sidhani kama ndio haswa sababu ya kufeli more than 80%.....kwa taarifa yako ni kuwa wengi wanaofanya CPA siku hizi hawapo kazini ni vijana wenye Adv Diploma na Degree za accountancy ambao wengi wao hawan kazi so wako busy na kusoma tu tangu wamalize chuo....
Mbona Open Univer wanafunzi wake wengi ni wafanyakazi lakni hawafeli namna hii......ukweli ni kuwa vile vizee vina roho mbaya vikiona kijana under 30 anakula CPA uku wenyewe walisotea miaka zaidi ya 20......
Pia suala la kuchoshwa sio mkuu nasikia majuu watu wanabeba box masaa kibao an wanakula buku na wanafaulu iweje Tz isiwezekane?
Kijana ume spesholaizi kwenye fani gani?
Umewahi kusoma tz elimu ya juu?
Mkuu elimu ya bongo yenyewe ina mushikeri long time.....lakini iweje miaka yoote CPA wafeli wakati masomo mfano Module E na F ni marudio waliokwisha yasoma Undergraduate zao?Nadhani sababu kubwa ya watahiniwa kufeli ni kutofanya maandalizi ya kutosha, (Zima moto) na pia waalimu pia huchangia wanafunzi kutofaulu. Mimi huamini kunapokuwa na mass failure basi ni indication kuna shida kwa waalimu na mfumo mzima wa ufundishaji.
Ushi
Janitor fafanua uwezo wa kuelewa kivipi kama mtu kasoma Taxation second yr akaielewa na akaifaulu then akaikuta Module E iweje asielewe hata kama alikariri basi akifundishwa tena itakuwa rahisi kwake kulielewa somo kiundani.Lugha ni ngeli rahisi ya minus,plus deduction,trading and profit na vitu kama hivyo hakuna lolno longo za ngwini.Sababu kubwa ni wanafunzi kutokuwa na uwezo wa kuelewa wanayofundishwa. Sasa hapa kuna mawili. Aidha ni hawana akili au hawaelewi lugha itumiwayo katika kufundishia masomo hayo.
Mkuu elimu ya bongo yenyewe ina mushikeri long time.....lakini iweje miaka yoote CPA wafeli wakati masomo mfano Module E na F ni marudio waliokwisha yasoma Undergraduate zao?
Janitor fafanua uwezo wa kuelewa kivipi kama mtu kasoma Taxation second yr akaielewa na akaifaulu then akaikuta Module E iweje asielewe hata kama alikariri basi akifundishwa tena itakuwa rahisi kwake kulielewa somo kiundani.Lugha ni ngeli rahisi ya minus,plus deduction,trading and profit na vitu kama hivyo hakuna lolno longo za ngwini.
Kufuata watasha ni kansa kwetu ukiangalia mfumo wa elimu toka msingi mpaka chuo ni madudu ya wazungu tu.lakini basi tuwajue wazungu(CPA) kwanza ili nasi tujijue kama hatutajua hata kanuni za Debit na Credit za wazungu sidhani kama tutaweza kuwa na zetu..Matatizo yetu sisi tunafuata tu yale yaliyopangwa na wadhungu. Dhana (concepts) karibu zote zinazofundishwa ziliasisiwa na wadhungu. Unabisha?
Hivi kuna waasisi gani weusi Waafrika waliovumbua mikanuni ya uhasibu? Hata hiyo CPA ilianzia wapi? Nina uhakika sio Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara. Unabisha?
Halafu "Module E na F" zinaitwaje kwa Kiswahili au Kinyantuzu? Jibu ni haziitwi chochote. Kwa nini? Niambie wewe.....
kwa taarifa yako ni kuwa wengi wanaofanya CPA siku hizi hawapo kazini ni vijana wenye Adv Diploma na Degree za accountancy ambao wengi wao hawan kazi so wako busy na kusoma tu tangu wamalize chuo....