NBAA Aibu, asilimia 84 wafeli

mimi naomba kujulishwa.....je madaktari au ma engineeer au walimu wanafanyaga mitihani ya kuwapima kama hii ya CPA(T)???? na kama hawafanyi kwa nini?

maengeneer wana bodi yao, hata sisi wagavi tunapimwa kwa CPSP, walimu hawana bodi...kuhusu madaktari sifahamu
 
Hivi idadi kubwa ya wanaofanya CPA wakifeli, wanaolaumiwa ni watahiniwa peke yao? walimu wanaowafundisha hawastahili lawama?
 
maengeneer wana bodi yao, hata sisi wagavi tunapimwa kwa CPSP, walimu hawana bodi...kuhusu madaktari sifahamu

Udaktari tayari ni Profession! Ukimaliza Degree ya Accountancy huwezi kuitwa Professional Accountant, mpaka upige CPA mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…