NBAA may 2013 Examination Results are Out!!!!!!!

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu, kuna tetesi kwamba matokeo ya mitihani ya NBAA yanatoka kesho saa saba na nusu mchana!!!!! Kwa wale waliofanya CPA na ATEC wajitayarishe kupokea matokeo yao. Kama kawaida nasikia ni asilimia 20 tu ya waliofanya CPA module F ndo ndo wamepata CPA.

Imebakia kuwa donda ndugu kwa NBAA kutoa maswali yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Na ndo maana hata wahasibu wa TZ wanashindwa ku-deliver. Maana hawakusoma vizuri kwa kuwa watahini hawawaulizi kitu walichosoma bali ni mchanganyiko usio na tija.
 

Moja ya kitu kinachofanya wahasibu washindwe ku-deliver ni mfumo mbaya wa NBAA (Labda tusubiri huo mfumo mpya utakaoanza November 2014)
Yaani kila mtu anajitungia kitabu chake na vitabu vingi haviendi na wakati na huku accounting standards zinabadilika mara kwa mara.
 
Duu cöntemporary ilinizingua kinyama wadau cjui itakuwaje
 
Jamani mlioko jikoni tupigieni picha za hiyo notice board mtu'uplodie mtusaidie tulioko mbali........plzzzzzzzzzz........
 
Jamani mlioko jikoni tupigieni picha za hiyo notice board mtu'uplodie mtusaidie tulioko mbali........plzzzzzzzzzz........

Nenda kwenye thread inayosema "matokeo ya cpa may 2013 haya hapa!!!! Nimeyaweka sasa hivi....
 
Kiukweli wametoa wengi this time!!!! CPA list 465 kwa session moja ya May tu!!! While November walikuwa 188 tu!

Kwa wale ambao bado wajitahidi session ya Nov 2013 au May 2014 wamalize maana from Nov 2014 ni new Syllabus ambayo itakuwa na masomo mengi zaidi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…