Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Wakuu, kuna tetesi kwamba matokeo ya mitihani ya NBAA yanatoka kesho saa saba na nusu mchana!!!!! Kwa wale waliofanya CPA na ATEC wajitayarishe kupokea matokeo yao. Kama kawaida nasikia ni asilimia 20 tu ya waliofanya CPA module F ndo ndo wamepata CPA.
Imebakia kuwa donda ndugu kwa NBAA kutoa maswali yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Na ndo maana hata wahasibu wa TZ wanashindwa ku-deliver. Maana hawakusoma vizuri kwa kuwa watahini hawawaulizi kitu walichosoma bali ni mchanganyiko usio na tija.