Samahani, sijuwi wewe ni muhitimu wa chuo au taasisi gani hapa duniani?
Kama ni muhitimu wa chuo kimojawpo hapa bongo, basi utakuwa unabisha kitu kilicho wazi kabisa, labda ni kwa vile umezoea kubisha.
Watahiniwa wengi wa vyuo vyetu hapa bongo wamezoea kupewa hints kabla ya mitihani. Ndio maana inakuwa ngumu kufauru mitihani inayoendeshwa na professinal boards kama vile nbaa, psptb, sisco, acca, cisa, na mengineyo.
Na kama wewe si muhitimu wa chuo kimojawapo hapa bongo, basi waulize wanafunzi wenyewe watakueleza hiki kitu ninachokwambia.
Ili ufauru mitihani ya professional boards inakubidi usome na uelewe. Tafuta class reviews zenye walimu walimu wazur wakufundishe uelewe na sio ukariri.