Wakuu, naomba muongozo, kuhusiana na upatikanaj wa material ya Attech 1 - NBAA,
na ndugu yangu yuko mkoan shinyanga, kaniomba msaada kwa kua niko dar.
Note: samahan km ntakua sijafafanua vizur kwa kua sina uelewe juu ya masomo hayo. Msaada wenu wakuu