Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 Feb 20, 2012 #1 Wakuu, naomba muongozo, kuhusiana na upatikanaj wa material ya Attech 1 - NBAA, na ndugu yangu yuko mkoan shinyanga, kaniomba msaada kwa kua niko dar. Note: samahan km ntakua sijafafanua vizur kwa kua sina uelewe juu ya masomo hayo. Msaada wenu wakuu
Wakuu, naomba muongozo, kuhusiana na upatikanaj wa material ya Attech 1 - NBAA, na ndugu yangu yuko mkoan shinyanga, kaniomba msaada kwa kua niko dar. Note: samahan km ntakua sijafafanua vizur kwa kua sina uelewe juu ya masomo hayo. Msaada wenu wakuu