Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ajira za "kesho mlete aanze kazi"View attachment 2769445
Sijui ni nani tu huwa anawaandikia hayo maelezo!
Whoever that person is, he or she ought to get a pay cut.
The grammatical sloppiness in the above screen grab is blasphemous.
“After you have been created”…….seriously NBC? Fukumean by that?
Improper use of articles.
How does such a text make it all the way through?
Niajirini hata mimi niwe nawasafishia na kuwanyooshea texts zenu.
Mnaonekana kama vile huko shule mlienda kusomea ujinga.
Thank you!Who cares? Umefukunyua mwenyewe😀 wengine tunapita tu shwaaaah
Kwamba wanaajiri tu bila kuwa makini?Ajira za "kesho mlete aanze kazi"
Kwa hiyo?Lugha ya watu hiyo mkuu
After you have been created your🤣🤣🙌View attachment 2769445
Sijui ni nani tu huwa anawaandikia hayo maelezo!
Whoever that person is, he or she ought to get a pay cut.
The grammatical sloppiness in the above screen grab is blasphemous.
“After you have been created”…….seriously NBC? Fukumean by that?
Improper use of articles.
How does such a text make it all the way through?
Niajirini hata mimi niwe nawasafishia na kuwanyooshea texts zenu.
Mnaonekana kama vile huko shule mlienda kusomea ujinga.
Brother kiufupi ni ukosefu tu wa kuwa updated na ulimwengu wa teknolojia..Kwamba wanaajiri tu bila kuwa makini?
😂😂😂View attachment 2769445
Sijui ni nani tu huwa anawaandikia hayo maelezo!
Whoever that person is, he or she ought to get a pay cut.
The grammatical sloppiness in the above screen grab is blasphemous.
“After you have been created”…….seriously NBC? Fukumean by that?
Improper use of articles.
How does such a text make it all the way through?
Niajirini hata mimi niwe nawasafishia na kuwanyooshea texts zenu.
Mnaonekana kama vile huko shule mlienda kusomea ujinga.
Hata hizo bots huwa zinakosea sana.Brother kiufupi ni ukosefu tu wa kuwa updated na ulimwengu wa teknolojia..
Imagine una grammarly na chatgpt, kunyoosha grammar unashindwaje ??..
Cha msingi mtu awe na kichwa cha kutoa content, grammar zipo tools kibao za kuinyoosha
The last red line is correct to me,View attachment 2769445
Sijui ni nani tu huwa anawaandikia hayo maelezo!
Whoever that person is, he or she ought to get a pay cut.
The grammatical sloppiness in the above screen grab is blasphemous.
“After you have been created”…….seriously NBC? Fukumean by that?
Improper use of articles.
How does such a text make it all the way through?
Niajirini hata mimi niwe nawasafishia na kuwanyooshea texts zenu.
Mnaonekana kama vile huko shule mlienda kusomea ujinga.
Nimeona watu wanazitumia successfully hivyo, ukiona mtu kakamatwa bhasi alifanya copy and pasting.Hata hizo bots huwa zinakosea sana.
Wapo wanafunzi wa high school na vyuo ambao wamewahi kutumia hizo bots kuandika papers na wakastukiwa kutokana na makosa yake.
As long as sio lugha yetu chaaaaWho cares? Umefukunyua mwenyewe😀 wengine tunapita tu shwaaaah
Furani=Fulani.CRDB or NMB wanaweza tumia hii sentensi " after you have been created" kw namna furani Kwenye marketing zao kupata mileage ya kibiashara.