NBC Bank, what is this?

NBC Bank, what is this?

english siyo lugha yetu hivyo hamna tatizo hapo wangekosea Kiswahili hapo ningeelewa kinacholalamikiwa, mlengwa hapo siyo sisi bali ni english people na wataelewa tu.

Hatuna umeme mjue mnapoteza muda kwenye trivial things?
Wangeandika Kiswahili basi ieleweke. Lakini hata na Kiswahili chenyewe, ukifuatilia, kinakosewa sana, hata humu jukwaani!

Utakuta:
1. Chakura badala ya chakula

2. Mala badala ya Mara

3. Mchere badala ya mchele

4. Arama badala ya alama

5. Sukali badala ya sukari.

Kwa kuwa Kiswahili nacho kinavurundwa tuachaname nacho na badala yake tuanze kutumia "vilugha vyetu?"
 
Back
Top Bottom