Undetectable JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 1,570 Reaction score 2,076 Oct 2, 2023 #21 Au sio!
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Oct 2, 2023 #22 Kijakazi said: english siyo lugha yetu hivyo hamna tatizo hapo wangekosea Kiswahili hapo ningeelewa kinacholalamikiwa, mlengwa hapo siyo sisi bali ni english people na wataelewa tu. Hatuna umeme mjue mnapoteza muda kwenye trivial things? Click to expand... Wangeandika Kiswahili basi ieleweke. Lakini hata na Kiswahili chenyewe, ukifuatilia, kinakosewa sana, hata humu jukwaani! Utakuta: 1. Chakura badala ya chakula 2. Mala badala ya Mara 3. Mchere badala ya mchele 4. Arama badala ya alama 5. Sukali badala ya sukari. Kwa kuwa Kiswahili nacho kinavurundwa tuachaname nacho na badala yake tuanze kutumia "vilugha vyetu?"
Kijakazi said: english siyo lugha yetu hivyo hamna tatizo hapo wangekosea Kiswahili hapo ningeelewa kinacholalamikiwa, mlengwa hapo siyo sisi bali ni english people na wataelewa tu. Hatuna umeme mjue mnapoteza muda kwenye trivial things? Click to expand... Wangeandika Kiswahili basi ieleweke. Lakini hata na Kiswahili chenyewe, ukifuatilia, kinakosewa sana, hata humu jukwaani! Utakuta: 1. Chakura badala ya chakula 2. Mala badala ya Mara 3. Mchere badala ya mchele 4. Arama badala ya alama 5. Sukali badala ya sukari. Kwa kuwa Kiswahili nacho kinavurundwa tuachaname nacho na badala yake tuanze kutumia "vilugha vyetu?"
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Oct 2, 2023 #23 Babu Fyee said: Furani=Fulani. Click to expand... "English" shida Kiswahili nako tatizo! Lugha gani sasa itumike?
Babu Fyee said: Furani=Fulani. Click to expand... "English" shida Kiswahili nako tatizo! Lugha gani sasa itumike?