Unajielewa?Ndgo mno
Aweke ya kwake kubwaUnajielewa?
Tff wanachukua Tena ni nyingi ukilinganisha na vipabu vinavyotunza wqtu wengiHivi hizi ela za udhamini huwa kiasi chote wanachukua vilabu au na TFF wanamega humo humo? Kama ela yote inaenda kwenye vilabu basi angalau safari hii vilabu vilabu vitaneemeka bil 2.5 sio haba ni nyingi. Ukijumlisha na za Azam tv angalau
Unakeleketwa kutoka pande zipi mkuu?Mdhamini kapatikana kwa mbinde tena ligi ikiwa inaendelea alafu yatatokea mazuzu ya kutaka nembo ya mdhamini ibadilishwe rangi.