NBC imesaini mkataba wa kudhamini ligi kuu Tanzania bara wenye thamani ya Billion 2.5 kwa miaka 3

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
20211006105756.jpg
 
Hivi hizi ela za udhamini huwa kiasi chote wanachukua vilabu au na TFF wanamega humo humo? Kama ela yote inaenda kwenye vilabu basi angalau safari hii vilabu vilabu vitaneemeka bil 2.5 sio haba ni nyingi. Ukijumlisha na za Azam tv angalau
 
Ni jambo jema sana.

Kuna umuhimu pia wa kutafutwa Mdhamini wa ligi daraja la kwanza (Champion league) ikibidi TFF wangeongea na Supersport ili waionyeshe hata kwa malipo kiduchu.
 
Hivi hizi ela za udhamini huwa kiasi chote wanachukua vilabu au na TFF wanamega humo humo? Kama ela yote inaenda kwenye vilabu basi angalau safari hii vilabu vilabu vitaneemeka bil 2.5 sio haba ni nyingi. Ukijumlisha na za Azam tv angalau
Tff wanachukua Tena ni nyingi ukilinganisha na vipabu vinavyotunza wqtu wengi
 
Back
Top Bottom