NBC mnalalamikiwa na wakala wenu

NBC mnalalamikiwa na wakala wenu

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Jana nilikwenda kwa wakala wa NBC aliyepo Kilosa mjini (ni mmoja tu) na niligomewa kutoa kiwango nilichohitajika huku wakala akilalamika kuwa NBC hawana ushirikiano na anatarajia kujivua uwakala.

Alieleza mambo mengi na mojawapo ni kuwa kuna wakati inabidi yeye kma wakal akusafiri kwenda Morogoro kwa mambo ambayo yangeweza kumalizwa kwa njia ya simu.
 
Alieleza mambo mengi na mojawapo
Hongera kwa kuvunja ukimya

Je, ni yape mengine

Bila shaka ujumbe utawafikia wahusika Makao Makuu #NBC na wakatafuta ufumbuzi.
 
Tatizo limeshughulikiwa. JF kwa mara nyingine imekuwa njia ya kupatia suluhisho. Asanteni woteeeeeeeeeee
 
Hao jamaa niliwachoka aisee. Imagine hadi saa hii hawajafanya integration na Halopesa App.
 
Back
Top Bottom