Nbc mtwara inahuduma mbovu

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Napenda kuwapa taarifa kwamba benk ya NBC Mtwara inahuduma mbovu kupitiliza ubovu. Kuna counter 5 na teller Mmoja anaehudumia wateja waliojazana paka mlangoni. Wafanyakazi wengine wanakunyachai na kupiga kelele tu. Manager wa bank ndo hana hata habari japo anaona kero zilizopo na kilasiku network hakuna. Tafadhali jirekebisheni la sivyo tutawahama kabisa.
 
Si hapo tu!
Tuliwahi achwa kwenye mstari tumeduwaa kisa eti meneja kamuita then kamtuma teller wapi sijui!
 
Dawa ni kuhamia Benki zingine zenye huduma bora. Labda kama ulichukuwa mkopo hapo!
 
"Mteja bora anastahiri huduma bora na kinyume chake" by Ng'wananzengo.

Hapo Mtwara Kuna Benki zaidi ya hiyo kwa nini usihame au una hisa kwenye hiyo benki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…