kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,871
- 2,762
Napenda kuwapa taarifa kwamba benk ya NBC Mtwara inahuduma mbovu kupitiliza ubovu. Kuna counter 5 na teller Mmoja anaehudumia wateja waliojazana paka mlangoni. Wafanyakazi wengine wanakunyachai na kupiga kelele tu. Manager wa bank ndo hana hata habari japo anaona kero zilizopo na kilasiku network hakuna. Tafadhali jirekebisheni la sivyo tutawahama kabisa.