NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Mmmh hii kasi walioanza nayo dodoma jiji sidhani kama hizi pampula zitatoka salama
 
Ilibakia kidogo lawama zimpate wawa
 
Muamuzi alikuwa makini,angekuwa muamuzi wa mchongo angewapa goli hawa kolo
 
Kuna msnge anapuliza filimbi kumchanganya refa
 
Back
Top Bottom