NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Mmmh hii kasi walioanza nayo dodoma jiji sidhani kama hizi pampula zitatoka salama
 
Ilibakia kidogo lawama zimpate wawa
 
Golikipa wa dodoma jiji amevaa heleni halafu tukiwafunga muanze kusema tumenunua mechi
 
Muamuzi alikuwa makini,angekuwa muamuzi wa mchongo angewapa goli hawa kolo
 
Kuna msnge anapuliza filimbi kumchanganya refa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…