NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Huyu jamaa wa 45+2 Ni mtu wa mchongo Nini!?? Au ndo GSM wenyewe hao washapanga mpk dakika za nyongeza!?? Ni hivi amejuaje kuwa itaongezwa dakika 2 wakati mpira ulikuwa Ni dakika 40!??? Huyu jamaa TAKUKURU waanze naye anajambo analijua...!!
Kwamba atakuwa ntu ya dili?
 
Huyu jamaa wa 45+2 Ni mtu wa mchongo Nini!?? Au ndo GSM wenyewe hao washapanga mpk dakika za nyongeza!?? Ni hivi amejuaje kuwa itaongezwa dakika 2 wakati mpira ulikuwa Ni dakika 40!??? Huyu jamaa TAKUKURU waanze naye anajambo analijua...!!
Navp yule kibendera muongo muongo kule Takukuru hawatakiwi kuanza naye?
 
Yule kibendera angle aliyokaa ndo imezaa matokeo ya offside! Kumbuka inshu ya Chelsea na kamera angle! Iliwapa matokeo gani kwenye VAR!???
 
Morrison anahitajika mapema...simba
Hakuna build up
Tatizo sio build up Tatizo katikati pako wazi. Anahitajika mtu solid katikati ma sio mkimbiaji kama Morrison
 
Back
Top Bottom