NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Ugonjwa wa Simba bdo ule ule haujaupata dawa! Wanakabia macho , kitu kinachotoa nafasi kwa timu hata dhaifu kucheza mchezo wao kwa Uhuru mkubwa na kupanga game vile watakavyo bila disturbance! SIMBA WAACHANE NA VITU VYOTE WAANZE KUFANYIA KAZI KUKABA! KUKABA!
 
Unamfundisha ndugu wa zidane kweli wewe?
 
Back
Top Bottom