park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,923 Reaction score 7,048 May 23, 2022 #41 Uzi umedoda
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 May 23, 2022 #42 park don said: Uzi umedoda Click to expand... Tuko busy...
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #43 Dk 45' Chico Ushindi Anapokea Pasi Ya Feisal Na Anampindua Mtu Ndani Ya Box Na Kupiga Shuti La Chini Chini Langoni Lakini Shuti Lake Linakwenda Nje.
Dk 45' Chico Ushindi Anapokea Pasi Ya Feisal Na Anampindua Mtu Ndani Ya Box Na Kupiga Shuti La Chini Chini Langoni Lakini Shuti Lake Linakwenda Nje.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 23, 2022 #44 HT BIASHARA UNITED 0 Yanga SC 0 Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #45 Naam Mpira Ni Half Time. Biashara United 0 - 0 Young Africans
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 May 23, 2022 #46 cocastic said: Mwaka wenu huu mtani, tena baada ya match, mje kuchukua kombe lenu. Sie tumekaa nalo miaka 4, tushafanana nalo kabisaa. Tukutane semi final FA Cup.!!!!! Click to expand... Na hapo ndo mtajua hamjui Mtani.
cocastic said: Mwaka wenu huu mtani, tena baada ya match, mje kuchukua kombe lenu. Sie tumekaa nalo miaka 4, tushafanana nalo kabisaa. Tukutane semi final FA Cup.!!!!! Click to expand... Na hapo ndo mtajua hamjui Mtani.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 May 23, 2022 #47 Ama kweli kukosa ubingwa kunaumiza aisee. 😅 Poleni jamani. Lol
Bagabeach JF-Expert Member Joined Jun 30, 2021 Posts 1,124 Reaction score 2,369 May 23, 2022 #48 GGYA
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 23, 2022 #49 Ila Yanga tulieni bhana! Mbona utulivu hakuna kabisa pale mbele! Mnakosa magoli mengi ya wazi kwa sababu ya kukosa utulivu.
Ila Yanga tulieni bhana! Mbona utulivu hakuna kabisa pale mbele! Mnakosa magoli mengi ya wazi kwa sababu ya kukosa utulivu.
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #50 Naam Mpira Umeanza Dk 45' Biashara United 0 - 0 Young Africans
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #51 Dk 48' Yanga Wanapata Corner Baada Ya Krosi Ya Dickson Ambundo Kuwa Blocked Na Mpira Kwenda Nje.
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #52 Dk 49' Awio Ambrosi Anachezewa Foul Na Chico Ushindi Karibu Na Lango La Yanga Na Chico Ushindi Anapewa Yellow Card.
Dk 49' Awio Ambrosi Anachezewa Foul Na Chico Ushindi Karibu Na Lango La Yanga Na Chico Ushindi Anapewa Yellow Card.
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #53 Dk 56' Yanga Wanafanya Mabadiliko Ya Wachezaji Watatu Denis Nkane, Saido Ntibazonkiza Na Ducapel Moloko Wameingia Kuchukua Nafasi Za Chico Ushindi, Dickson Ambundo Na Yassin Mustafa.
Dk 56' Yanga Wanafanya Mabadiliko Ya Wachezaji Watatu Denis Nkane, Saido Ntibazonkiza Na Ducapel Moloko Wameingia Kuchukua Nafasi Za Chico Ushindi, Dickson Ambundo Na Yassin Mustafa.
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #54 Dk 59' Djuma Shabani Anapiga Krosi Kwa Mayele Lakini Kichwa Anachopiga Mayele Kinaenda Nje
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #55 Dk 60' Biashara United Nao Wanafanya Mabadiliko Hapa Ya Wachezaji Wawili
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 May 23, 2022 Thread starter #56 Dk 63' Yellow Card Kwa Mpapi Nasibu Baada Ya Kumchezea Vibaya Djuma Shabani
Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,669 Reaction score 8,268 May 23, 2022 #57 Hii mitoto inajiangusha makusudi Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 23, 2022 #58 Mechi ndogo kama hizi siyo za kumuacha Heritiel Makambo nje! Kama kweli timu inahitaji matokeo.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 May 23, 2022 #59 Kumbe leo wananchi tunakipiga na hamsemi
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 May 23, 2022 #60 Linguistic said: Hii mitoto inajiangusha makusudi Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Uwanja umewekwa majani ya mlenda
Linguistic said: Hii mitoto inajiangusha makusudi Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Uwanja umewekwa majani ya mlenda