NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

Dk 45' Chico Ushindi Anapokea Pasi Ya Feisal Na Anampindua Mtu Ndani Ya Box Na Kupiga Shuti La Chini Chini Langoni Lakini Shuti Lake Linakwenda Nje.
 
Mwaka wenu huu mtani, tena baada ya match, mje kuchukua kombe lenu. Sie tumekaa nalo miaka 4, tushafanana nalo kabisaa.

Tukutane semi final FA Cup.!!!!!
Na hapo ndo mtajua hamjui Mtani.
 
Ama kweli kukosa ubingwa kunaumiza aisee. 😅

Poleni jamani. Lol
 
Ila Yanga tulieni bhana! Mbona utulivu hakuna kabisa pale mbele! Mnakosa magoli mengi ya wazi kwa sababu ya kukosa utulivu.
 
Dk 48' Yanga Wanapata Corner Baada Ya Krosi Ya Dickson Ambundo Kuwa Blocked Na Mpira Kwenda Nje.
 
Dk 49' Awio Ambrosi Anachezewa Foul Na Chico Ushindi Karibu Na Lango La Yanga Na Chico Ushindi Anapewa Yellow Card.
 
Dk 56' Yanga Wanafanya Mabadiliko Ya Wachezaji Watatu Denis Nkane, Saido Ntibazonkiza Na Ducapel Moloko Wameingia Kuchukua Nafasi Za Chico Ushindi, Dickson Ambundo Na Yassin Mustafa.
 
Dk 63' Yellow Card Kwa Mpapi Nasibu Baada Ya Kumchezea Vibaya Djuma Shabani
 
Kumbe leo wananchi tunakipiga na hamsemi
 
Back
Top Bottom