HahahahahahaOhoo
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana mkuuMayele hata hajamaliza kutetema watu wamerudisha goli
Bendi ya kikongo denis hana impact, so unashauri aende akudo impact?Huyu Denis Nkane Sijui Anaingiaga Kufanya Nn Hana Impact Kabisa
Rekodi yetu haivunjwi kirahisi,Hawa biashara inakuwaje wanashindwa kupiga goli la 2
Tuna wasubiria mbeya pale....Rekodi yetu haivunjwi kirahisi,
Rekodi gani!?Rekodi yetu haivunjwi kirahisi,
Faida kwa YangaNaam!
FT: Biashara United 1 - 1 Young Africans
Huku pongezi zikienda kwa manaraFaida kwa Yanga
Kwanini tuongelee habari za miaka minne? Hebu tuongelee kipindi kama hiki mwaka jana bana!Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena