NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

Na nyie vizieni
Namna mayele anavyo nyata kuvizia goli

giphy (34).gif
 
Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena
 
Kwanini tuongelee habari za miaka minne? Hebu tuongelee kipindi kama hiki mwaka jana bana!
 
Back
Top Bottom