Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Yanga kabakisha point 3 kuchukua ubingwa, akimpiga coatal union tayari anakua bingwa.Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena
Lete habari mkuu, ilikuwaje?Kwanini tuongelee habari za miaka minne? Hebu tuongelee kipindi kama hiki mwaka jana bana!
Who Told You?Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena
Mechi Ijayo Tukimfunga Coastal Union Mchezo Utakuwa Umeishia Hapo.Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena
Uto...muacheni Kaze timu, mtoe sare mechi zote mlizobakiza mchukue ubingwa kwa mbwembwe.Yanga kabakisha point 3 kuchukua ubingwa, akimpiga coatal union tayari anakua bingwa.
Exactly, Tunahitaji Point Tatu Dhidi Ya Coastal Union Hii Shughuli iishe.Faida kwa Yanga
Hata hao wenyewe unaowasemea hawajiamini wanatamani wasiingize team uwanjaniUto...muacheni Kaze timu, mtoe sare mechi zote mlizobakiza mchukue ubingwa kwa mbwembwe.
Ila jumamosi mtajua hamjui.
Chukwu emeka zipompa Shadeeya Its Pancho ukikaidi utapigwa2 Tate Mkuu
Bado point tatu ofsaUzi utafikiri ni updates ya prison na mbeya kwanza
Mtakachokipata jumamosi kitaharibu maandalizi ya sherehe zenu za ubingwa.Hata hivyo tumefanya hivi makusudi ili tubebe ubingwa kwa kuwaoa maumivu zaidi wachawi wale.
Hesabu zako haziko Sawa, Leo Yanga kafikisha point 64, Simba akishinda Mechi zake 5 atakuwa na point 66 Kwani Sasa hivi ana point 51. Kwa hiyo Yanga akishinda Mechi 1 tu anafikisha points 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena
Ni lini wanakutana?Mechi 4 na zinahitajika point 3 Yanga awe bingwa Wa 2021/2022
Next:Coastal Union-Estadio de Benjamini Mkapa
Sasa ubingwa upo mkononi tayari updates za nini! Sisi tunaenda uwanjani tupo busy kuishangilia timu ya wananchiKwenye nyuzi za updates Uto wako nyuma sana, ila ukienda kwenye special thread yao utaona mtiririko wa comments halafu page ya 1-4 ni comments za mtu mmoja