NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena
Yanga kabakisha point 3 kuchukua ubingwa, akimpiga coatal union tayari anakua bingwa.
 
Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena
Who Told You?
 
Mechi Ijayo Tukimfunga Coastal Union Mchezo Utakuwa Umeishia Hapo.
 
Jana Simba,leo Uto,kilamtu keshamaliza jambo lake huko mwanza sasa tukutane semi ya FA.
 
Topolo msibweteke timu yenu ya kawaida sana.... tena bahati yenu mechi imechezwa Kirumba.
 
Huu ubingwa Yanga wanaupata kwa manyanyaso sana. Kipindi kama hiki miaka minne iliyopita Simba alikuwa ashatangaza ubingwa. Yanga wangeahinda leo walikuwa wanabakisha mechi moja tu kutangazwa ubingwa sasa ona Biashara wanaharibu mipango, Yanga watahitaji mechi mbili tena
Hesabu zako haziko Sawa, Leo Yanga kafikisha point 64, Simba akishinda Mechi zake 5 atakuwa na point 66 Kwani Sasa hivi ana point 51. Kwa hiyo Yanga akishinda Mechi 1 tu anafikisha points 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kwenye nyuzi za updates Uto wako nyuma sana, ila ukienda kwenye special thread yao utaona mtiririko wa comments halafu page ya 1-4 ni comments za mtu mmoja
Sasa ubingwa upo mkononi tayari updates za nini! Sisi tunaenda uwanjani tupo busy kuishangilia timu ya wananchi
 
Back
Top Bottom