NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

Topolo msibweteke timu yenu ya kawaida sana.... tena bahati yenu mechi imechezwa Kirumba.
Sawa kolozwizard na ndio maana baada ya hapa kuna dirisha la usajili na tutaleta watu zaidi ya Mayele ili muongeze idadi ya watu ambao mtakuwa mnawachukia zaidi
 
Yanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
 
Kwenye nyuzi za updates Uto wako nyuma sana, ila ukienda kwenye special thread yao utaona mtiririko wa comments halafu page ya 1-4 ni comments za mtu mmoja
Hizi updates zingekuwa zinaleta point 3,ingekuwa poa zaidi

All in all tunahitaji point 3 katika mechi 4 zijazo
 
Habari njema ni kwamba
1. Zimebaki point 3 tutangaze ubingwa
2. Zimebaki mechi 4 tu
3. Mechi ijayo tunacheza kwa mkapa na ikiwezekana kombe liwe uwanjani kabisa ili tuteteme vizuri
4. Mpaka sasa hatujapoteza mchezo wowote
5. Diarra ana clean sheet zakutosha
6. Mayele anaendelea kutetema
7. Wanainchi wanaendea kutetema
9. Makolo wanaendelea kutetemeka
 
Yanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
Same kwenye misimu iliyopita Simba alikuwa anachukua ubingwa kwasababu Yanga alikuwa dhoofu bin hali
 
Yanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
Punguza makasiriko mkuu kubali uwezo wenu kwa sasa wakawaida, na pia ubingwa mmechukua sababu yanga pia ilikuwa mbovu
 
Kwenye nyuzi za updates Uto wako nyuma sana, ila ukienda kwenye special thread yao utaona mtiririko wa comments halafu page ya 1-4 ni comments za mtu mmoja
Basi mtapewa kombe la juhudi za kuleta updates
 
Djuma Shabani baada ya kutoa Assist leo anakaa juu kama kinara wa Assists ligi kuu Tanzania bara mpaka sasa.

1. 🎯 05 = Djuma Shabani
....🎯 05 = Jesus Moloko

Beki anawazidi viungo kwa Assist πŸ‘
 
Kwa mara ya kwanza nimeruka ruka Yanga kufunga maana Mayele kasababisha 57000 imeingia mfukoni
Huwa napenda mashabiki wanaoweka mzigo hata kwa timu wasizozipenda. Hongera mkuu, acha wengine walipe viingilio, halafu wewe unalipwa na mhindi
 
Sawa kolozwizard na ndio maana baada ya hapa kuna dirisha la usajili na tutaleta watu zaidi ya Mayele ili muongeze idadi ya watu ambao mtakuwa mnawachukia zaidi
Mayele miezi sita imeshaisha, anamalizia ligi tu
 
Yanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Kwani Yanga Ilkuwa Vizuri Wakati Huo?
 
Mayele miezi sita imeshaisha, anamalizia ligi tu
Yaaah! Ni sawa na tumepata mbadala wake na atakuja kuwakela tena

Dozi ipo palepale mzee......Ukisimama nchale na ukiinuka nchale
 
Baada pumzi yao kukata.. Vita imehamia kwa Fiston Mayele na Mpole japo sio mchezaji wao.

Sasa basi kwa kuwa mwaka huu nia yetu ni kuhakikisha tunapa mateso makali..

YANGA BINGWA NBC..
YANGA BINGWA FA
FISTON MAYELE- MFUNGAJI BORA.
DJUMA SHABAN-BEST PLAYMAKER
YANICK BANGALA-MCHEZAJI BORA
BAKARI NONDO-BEST CENTRE BACK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…