Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Uliskia wapi?Mtakachokipata jumamosi kitaharibu maandalizi ya sherehe zenu za ubingwa.
Scars Championship Ghazwat Shadeeya
Jiandaeni safari hii hakuna kuwaonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliskia wapi?Mtakachokipata jumamosi kitaharibu maandalizi ya sherehe zenu za ubingwa.
Scars Championship Ghazwat Shadeeya
Sawa kolozwizard na ndio maana baada ya hapa kuna dirisha la usajili na tutaleta watu zaidi ya Mayele ili muongeze idadi ya watu ambao mtakuwa mnawachukia zaidiTopolo msibweteke timu yenu ya kawaida sana.... tena bahati yenu mechi imechezwa Kirumba.
Hizi updates zingekuwa zinaleta point 3,ingekuwa poa zaidiKwenye nyuzi za updates Uto wako nyuma sana, ila ukienda kwenye special thread yao utaona mtiririko wa comments halafu page ya 1-4 ni comments za mtu mmoja
piga vizuri hesabu zako, watoto wa primary watakuchekaBado point 1 saivi[emoji81][emoji81]tuna keraaa
Same kwenye misimu iliyopita Simba alikuwa anachukua ubingwa kwasababu Yanga alikuwa dhoofu bin haliYanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
Punguza makasiriko mkuu kubali uwezo wenu kwa sasa wakawaida, na pia ubingwa mmechukua sababu yanga pia ilikuwa mbovuYanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
Basi mtapewa kombe la juhudi za kuleta updatesKwenye nyuzi za updates Uto wako nyuma sana, ila ukienda kwenye special thread yao utaona mtiririko wa comments halafu page ya 1-4 ni comments za mtu mmoja
Mwezi June coz baada ya mechi ya Simba na Yanga kuna International break ya 2 weeksNi lini wanakutana?
Huwa napenda mashabiki wanaoweka mzigo hata kwa timu wasizozipenda. Hongera mkuu, acha wengine walipe viingilio, halafu wewe unalipwa na mhindiKwa mara ya kwanza nimeruka ruka Yanga kufunga maana Mayele kasababisha 57000 imeingia mfukoni
Asipompiga? 😁Yanga kabakisha point 3 kuchukua ubingwa, akimpiga coatal union tayari anakua bingwa.
Mayele miezi sita imeshaisha, anamalizia ligi tuSawa kolozwizard na ndio maana baada ya hapa kuna dirisha la usajili na tutaleta watu zaidi ya Mayele ili muongeze idadi ya watu ambao mtakuwa mnawachukia zaidi
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Kwani Yanga Ilkuwa Vizuri Wakati Huo?Yanga atachukua ligi kwasababu simba haipo vizuri tu ila sio kwamba wapo vizuri ukiangalia mwenendo wao simba ile ya misimu minne haikupoteza point kizembe kizembe hivi na ilikuwa inashinda goli nyingi karibuni kimataifa yanga kwa wanaume wa shaka.
Yaaah! Ni sawa na tumepata mbadala wake na atakuja kuwakela tenaMayele miezi sita imeshaisha, anamalizia ligi tu
Simba anakuwa BingwaAsipompiga? 😁