NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

Dk 07' Chico Ushindi Anaweka Krosi Langoni Mwa Biashara United Lakini Inakuwa Kubwa Kwa Ambundo Dickson Na Anaukosa Mpira.
 
Dk 10' Farid Mussa Anapiga Penetration Pass Kwa Chico Ushindi Lakini Shuti Lake Linakuwa Mboga Kwa Golikipa Daniel Mgore
 
Dk 13' Dickson Job Anapenyeza Pasi Kwa Mayele Na Mayele Anamuwekea Tena Job Kwenye Box Lakini Anakosa Utulivu Na Mpira Unakwenda Nje
 
Dk 17' Ndani Ya Box Kiboko Ya Mabishoo Dickson Ambundo Anajaribu Kupiga Shuti Hapa Lakini Kipa Daniel Mgore Anasimama Imara Na Kuudaka.
 
Dk 23' Chico Ushindi Anapenyeza Pasi Kwenye Box Mayele Anaugusa Kwa Kisigino Na Kumuachia Kiboko Ya Mabishoo Dickson Ambundo Anapiga Shuti Lakini Mpira Wake Unapaa Langoni Mwa Biashara United
 
Dk 29' Ramadhani Chombo Anamuwekea Pasi Nzuri Atupele Green Kwenye Box Lakini Shuti Lake Linakwenda Alijojo Na Kupaa Juu.
 
Dk 35' Biashara United Wanapata Corner Baada Ya Shuti Lao Kuwa Blocked Na Kwenda Nje
 
Dk 36' Biashara United Wanapata Free Kick Karibu Na Lango La Yanga Baada Ya Zawadi Mauya Kucheza Foul Kwa Awio Ambrosi
 
Back
Top Bottom