NBC Premier League| Fountain Gate vs Simba SC| 16:15

NBC Premier League| Fountain Gate vs Simba SC| 16:15

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
14,266
Reaction score
40,225
Mnyama Leo atashuka dimbani kumenyana na fountain Gate.
Majira ya saa 16:15 jioni
Simba wazee wa kazi
Wazee wa vichapo
Wazee wa kutoa vipondo
Simba imebarikiwa kutandaza soka safi mithili ya Spain

Mtanange wa kukata na shoka
Kwa dunia ya sasa hivi wanakwambi ni heri ukose kufanya mapenzi kuliko kuangalia mechi ya simba mechi ya simba ni zaidi sex

NB; SIMBA AKIFUNGWA MNIPIGE BAN LA MWAKA
IMG-20261029-WA0055.jpg
 
Sasa umeanzisha uzi halafu umeutelekeza jamani...
We dogo jau kweli🙄😬😬
 
Nilidhani unaanza saa 10 kumbe saa 10:15:
Nitauwahi Mwabe Pande
 
Back
Top Bottom