Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Timu zingine ndogo huwa hazitaki kucheza muda huo na Yanga vs Simba kwasababu ya mapato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangegoma na wasingewafanya chochoteNi swali tu ndugu zangu, mwenye majibu naomba anieleweshe, au kama ziliwahi kucheza mchana wa jua kali la saa 8 basi nikumbushwe, ilikuwa lini na wapi?
Hatuwezi kuwa na ligi moja ya soka yenye upendeleo wa kijinga kabisa kama huu halafu tukatarajia maendeleo.
Na umeshajiuliza, ni kwa nini timu zingine, tofauti na Yanga, Azam na Simba, inazipeleka Simba na Yanga viwanja tofauti na mikoa waliopo? Hata hizo timu zichezeshwazo mchana, zikiwa nyumbani, hazitapenda michezo yao ichezwe mchana!Shida siyo kucheza saa 7 mchana , kwanini Simba na Yanga hawapangiwi game muda huo kama timu zingine ?
Hili tutalianzishia uzi wakeNa umeshajiuliza, ni kwa nini timu zingine, tofauti na Yanga, Azam na Simba, inazipeleka Simba na Yanga viwanja tofauti na mikoa waliopo? Hata hizo timu zichezeshwazo mchana, zikiwa nyumbani, hazitapenda michezo yao ichezwe mchana!