NBC PREMIER LEAGUE: Kwanini Simba na Yanga hazipangwi kucheza saa 8 mchana kama timu nyingine?

Timu zingine ndogo huwa hazitaki kucheza muda huo na Yanga vs Simba kwasababu ya mapato
 
Wangegoma na wasingewafanya chochote
 
Shida siyo kucheza saa 7 mchana , kwanini Simba na Yanga hawapangiwi game muda huo kama timu zingine ?
Na umeshajiuliza, ni kwa nini timu zingine, tofauti na Yanga, Azam na Simba, inazipeleka Simba na Yanga viwanja tofauti na mikoa waliopo? Hata hizo timu zichezeshwazo mchana, zikiwa nyumbani, hazitapenda michezo yao ichezwe mchana!
 
Hili tutalianzishia uzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…