NBC Premier League' Namungo FC dhidi ya Azam FC, Ni vita ya kuwania nafasi ya tatu

NBC Premier League' Namungo FC dhidi ya Azam FC, Ni vita ya kuwania nafasi ya tatu

Lusajo katika nafasi nzuri ya kufunga lakini anampa golikipa..!
 
90+3'

Azam FC wanakosa nafasi ya kufunga tena.

Naaam mpira umekwisha, Namungo FC wanalala Nyumbani.

Namungo FC 1- 2 Azam FC
 
𝙰𝚣𝚊𝚖 𝚝𝚊𝚔𝚊𝚝𝚊𝚔𝚊 𝚝𝚞 𝚑𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚙𝚒𝚐𝚠𝚎
shida yao hawana presha nje Wala ndani ya uwanja, wakitaka chapati wanapata, juisi ya ukwaju, wali nazi ya Azam, wamerelaksie kwelikweli.

Ila msemaji wao alishasema wao walisajili ili kimataifa wasifungwe goli nyingi. Tena aliongea kwa kujiamini kabsa.
 
Back
Top Bottom