Topolo msibweteke. Kumbukeni mna points 12 za Namungo, Simba, Azam na KMC plus sare za Biashara na Mbeya City.Kolo kaachwa point ngapi
shida yao hawana presha nje Wala ndani ya uwanja, wakitaka chapati wanapata, juisi ya ukwaju, wali nazi ya Azam, wamerelaksie kwelikweli.π°π£ππ ππππππππ ππ πππ π πππππ π
Izo Mechi Yanga Anachukua Point Zote 18, Na Mayele Akicheza Zote Izo Atafunga Kila Mechi Apo.Topolo msibweteke. Kumbukeni mna points 12 za Namungo, Simba, Azam na KMC plus sare za Biashara na Mbeya City.