NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Baada Ya Kupigwa 3 kwa Moja Na Jwaneng Galaxy, Leo simba Wanaikaribisha Polisi Tanzania Kwenye Mchezo wa Ligii kuu Tanzania Bara.

Polisi Tanzania Wamekuwa na Mwanzo Mzuri wa Ligi hii huku Simba Akiwa amefungwa michezo yote aliyocheza uwanja Wa Benjamini Mkapa Kwa msimu huu. Alifungwa na Yanga, Akafungwa na TP Mazembe, Akafungwa na Jwaneng Galaxy

Baada ya Kuachana na Kocha Gomez Leo hali itakuwaje?

Tuwe hapa kwa Dakika 90


View attachment 1988616
 
Ivi uyu dogo wa Biashara hatuwez tukamuiba january[emoji16]
 
Ngoja tuone kama tuna futa machozi au tunaongrza mengine
 
Bodi ya timu haijamaliza kufanya usafi, round hii rungu linaelekezwa kwa wachezaji

Atae fakisha leo aonhoze moja kwa moja airport mabegi atayakuta huko huko
 
Mpira wa leo ni jihad, kuna hwezekano hata manula akatoka na goli
 
Safi sana, wawa hata benchi hayupo akwende zake
simbasctanzania-20211027-0001.jpg
 
Let's go Mnyama [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Dakika 15 za mwanzo inatakiwa tuwe tunaongoza goli 2
 
Simba wanaweza wakawa wabovu Ila siyo kwa ligi ya ndani
 
Back
Top Bottom