Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
hamna kitu hapa ,hii timu tuna Onyago ,Inoga Manula wengine hamna lolote hasa hawa wengine wa kimataifa,polisi wamekaa kujilinda sana ila mfano wafunguke na kushambulia Simba wanafurahishwa,hii Simba bado sanaKwanini kaka?, sipo kwenye kideo