NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

Wachezaji wa Simba psychologically hawako sawa kabisa.
 
Naomba mtu aje hapa anisaidie Dilunga anatumia mganga yupi maana sioni sababu ya yeye kuanza hizi game zote tulizocheza sio kama namkataa kiasi hicho lakini jamaa anatembea na mpira ovyo sana yani one vs one bado hawezi kumpita opponent ovyo kabisa
 
Birian lingebak kama gomez angekuwepo
Gomez yupo tangu mechi ya kwanza msimu huu na Hilo biriani hajatujaliona.

Tatizo Simba tunammisi chamaa kwasababu alikuwa muhimu kwenye kuunganisha kulia na kushoto, kuunganisha mbele na nyuma, so alikuwa anaamua jinsi ambavyo timu icheze.

Kwasasa Simba hatuna mtu anayeichezesha timu
 
Simba haiko aggressive kabisa kwenye ushambuliaji msimu huu, japo wanaweza kuimarika hapo mbeleni wakiweka umakini.

Wapambane tu wafanye vizuri kwenye ligi ya ndani na muhimu sana watinge hatua ya makundi ya shirikisho maana wakitolewa tena watavunja mioyo ya mashabiki wao.
mkuu Simba mpaka itengamae itachukua mda
 
Gomez yupo tangu mechi ya kwanza msimu huu na Hilo biriani hajatujaliona.

Tatizo Simba tunammisi chamaa kwasababu alikuwa muhimu kwenye kuunganisha kulia na kushoto, kuunganisha mbele na nyuma, so alikuwa anaamua jinsi ambavyo timu icheze.

Kwasasa Simba hatuna mtu anayeichezesha timu
gomez angepewa muda awafunze watoto aliowasajil, kitendo cha kumwondoa unakata connextion
 
Huu ndio ulikuwa wakati sahihi kumuondoa Gomez, si afya sana kwa timu kubwa kama Simba kuwa na kocha anayekaa jukwaani kwenye mechi za kimataifa kwa sababu hana vigezo.
si kwel, kocha ana nguvu hata akikaa jukwaan, maananana muda mwng wa kukaa na kuwafunza wachezaj mazoezin na kweny mech za ndan (lig)
Kitemdo cha kumtoa Gomez iltakiwa aletwe mwengne zaid yake sio kutuachia ndondocha ndiayagire
 
mkuu Simba mpaka itengamae itachukua mda
Simba inapitia kipindi ambacho klabu nyingi hupitia (mfano Barcelona) kwa Sasa muhimu ni kukaa chini kwa pamoja kuangalia mapungufu yalipo na kujitahidi kuyatatua na kujaribu kujipa muda (uvumilivu).
 
Back
Top Bottom