Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kilichotukuta kwenye mechi na Galaxy tuliona umuhimu wa kuwa na kocha mkuu uwanjani kwenye mechi muhimu.si kwel, kocha ana nguvu hata akikaa jukwaan, maananana muda mwng wa kukaa na kuwafunza wachezaj mazoezin na kweny mech za ndan (lig)
Kitemdo cha kumtoa Gomez iltakiwa aletwe mwengne zaid yake sio kutuachia ndondocha ndiayagire