NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

So far mnyama amecheza vizuri nikweli umaliziaji sio mzuri
 
Kwaio pira biriani ilishaishaga

Saiv ni piga mbele tufunge
 
Nawaonea huruma Sana Simba ...

Hii simba Ni Mbovu mno😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Simba...Nguvu Moja....! Polisi Kuachia Point 3 hapa Kama kifo haikwepeki...!
Possession yote hiyo...! Alafu points Zibaki...?
 
Kufunga ndo shida hapa tunaitaji Morrison na Duncan wasumbufu
No Man,kwa uchezaji huu wa Simba hata wakicheza dakika 200 na timu yoyote ile Tanzania hawapati matokeo.
kama unaangalia hapo mpira hapo Simba imekamiwa wapi? Polisi wanacheza tu kawaida ,tusisingizie tunakamiwa timu inapofeli
Simba haiko aggressive kabisa kwenye ushambuliaji msimu huu, japo wanaweza kuimarika hapo mbeleni wakiweka umakini.

Wapambane tu wafanye vizuri kwenye ligi ya ndani na muhimu sana watinge hatua ya makundi ya shirikisho maana wakitolewa tena watavunja mioyo ya mashabiki wao.
 
Back
Top Bottom