Baada Ya Kupigwa 3 kwa Moja Na Jwaneng Galaxy, Leo simba Wanaikaribisha Polisi Tanzania Kwenye Mchezo wa Ligii kuu Tanzania Bara.
Polisi Tanzania Wamekuwa na Mwanzo Mzuri wa Ligi hii huku Simba Akiwa amefungwa michezo yote aliyocheza uwanja Wa Benjamini Mkapa Kwa msimu huu. Alifungwa na Yanga, Akafungwa na TP Mazembe, Akafungwa na Jwaneng Galaxy
Baada ya Kuachana na Kocha Gomez Leo hali itakuwaje?