ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
--------- Matokeo ---------
KMC 0-2 Yanga
Magoli ya haraka haraka yaliyofungwa na Mayele katika dakika ya 4 na Fei Toto katika dakika ya 11 yametosha kuipa ushindi Yanga na kuipandisha kileleni mwa ligi Kuu ya Tanzania
Hayawi Hayawii….
Ni KMC Vs YANGA uwanja Wa Majimaji Songea. NPL
NI NBC PREMEIRE LIGUE
Je Ni KMC kuibuka Washindi Au YANGA?
Tuwe hapa Kwa Dakika 90 Kutokea Songea.