Hayawi Hayawii….
Ni KCMC Vs YANGA uwanja Wa Majimaji Songea. NPL
NI NBC PREMEIRE LIGUE
Je Ni KCMC kuibuka Washindi Au YANGA?
Tuwe hapa Kwa Dakika 90 Kutokea Songea.
KCMC????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayawi Hayawii….
Ni KCMC Vs YANGA uwanja Wa Majimaji Songea. NPL
NI NBC PREMEIRE LIGUE
Je Ni KCMC kuibuka Washindi Au YANGA?
Tuwe hapa Kwa Dakika 90 Kutokea Songea.
Kwa magoli ya offside na kijana wenu shikalo ashavuta bahasha yake
Ila mkuu unaonaje hiki kikosi kilichomfunga Simba kinapiga mpira biriani si mchezoKwa magoli ya offside na kijana wenu shikalo ashavuta bahasha yake
Eeee si kile cha Kigoma kiko fresh Sana [emoji16][emoji16][emoji16] utopolo bwana mshanunua mechi ndo mnajichekeshaIla mkuu unaonaje hiki kikosi kilichomfunga Simba kinapiga mpira biriani si mchezo
Hayo nimatamanio ya mwana korokocho fc popote alipo🤸.KMC lazima ampapase Utopwenga goli mbili.
He he he he heKwa magoli ya offside na kijana wenu shikalo ashavuta bahasha yake
Kwani cha kigoma ndio hiki mkuu? Hiki ndio kile cha ngao ya jamii umesahau mara hii mkuu. Kilichompigia Simba mpira birianiEeee si kile cha Kigoma kiko fresh Sana [emoji16][emoji16][emoji16] utopolo bwana mshanunua mechi ndo mnajichekesha
Kama wale waliomkopo kutoka mwa timu ya mama BarbraMpaka sasa Metacha anapokea mshahara wa Utopwenga.
Lazima tuwapapase tenaYani unategemea mashabiki wa Simba Sc wanaumia kwa hilo bonanza lenu? Nyie chezeni mrudi dar, si bado tunakumbuka zile kelele zenu za kumaliza unbeaten msimu uliopita.
Tutatafutana tu[emoji16]
Acha uongo, utakuwa wapi?Wakuu leo sitakuwepo kwahyo mtanipa matokeo kesho nikirudi
Ahsante
Kikosi kipi mkuu? Mana naona kmc pamoja nakufungwa Ila anamiliki gem.Ila mkuu unaonaje hiki kikosi kilichomfunga Simba kinapiga mpira biriani si mchezo
Sisi tupo hapa uwanja wa chuo cha Ushirka Moshi, mpira unaenda kwa kasi huku Yanga wakishambuliwa.Hayawi Hayawii….
Ni KCMC Vs YANGA uwanja Wa Majimaji Songea. NPL
NI NBC PREMEIRE LIGUE
Je Ni KCMC kuibuka Washindi Au YANGA?
Tuwe hapa Kwa Dakika 90 Kutokea Songea.
Azam wameonesha ball position Yanga kaongoza asilimia 53 kwa 47 vipi kmc kaongoza kwenye nini?Kikosi kipi mkuu? Mana naona kmc pamoja nakufungwa Ila anamiliki gem.